Hivi Bisi Ni Salama?

Nayafahamu. Ni yale madogo ya orange.

Ndio ila yanatofautiana kuna yale ambayo huuzwa sokoni na ya supermarket, haya ya sokoni unaweza kuta yamebunguliwa na wadudu na hata upasukaji wake si mzuri, ila ya supermarket yamehifadhiwa vizuri huwezi kukuta mdudu au yamebunguliwa.
 
Sasa hawa vijana wetu wanaotengeneza bisi huko manjiani huenda supermarket kweli? Hao huishia sokoni kwenye hayo uliyosema, na hapo ndipo hofu yangu inahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…