Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Nayafahamu. Ni yale madogo ya orange.
Ndio ila yanatofautiana kuna yale ambayo huuzwa sokoni na ya supermarket, haya ya sokoni unaweza kuta yamebunguliwa na wadudu na hata upasukaji wake si mzuri, ila ya supermarket yamehifadhiwa vizuri huwezi kukuta mdudu au yamebunguliwa.