Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tiba ya kitambisijawahi kuzipenda BISI,zinachafua meno!
for really?Ni tiba ya kitambi
Ule ukavu wake husaidia kunyonya mafuta ndani ya tumbofor really?
unatumia kama dozi au inakuwaje,usifanye ziwe bidhaa muhimu mkuu!
Hapa ndio penye tatizoMahindi huwa yanahifadhiwa na madawa ya kuzuia wadudu, huwa najiuliza kama kweli mahindi yale huoshwa vizuri kabla ya kuingizwa kwenye mashine ya bisi.
Bisi ni dawa piaHizi Bisi Ni Maarufu Sana Manjiani Na Kwenye Kumbi Za Sinema. Nauliza Hivi Maana Kama Mahindi Ya Kawaida Leo Yamekuwa Hatari Katika Kutengeneza Unga Wa Dona Kutokana Na Kuvu, Hizi Bisi Hazina Kemikali?
Cha muhimu tujue temperature ya kupasua hilo hindi linakuwa nyuzi ngapi na hiyo dawa kama inaendelea kubaki kwenye hiyo bisi ni vizuri wataalamu wakatusaidiaYawezekana ikawa dawa lakini zikawa na sumu kwa kuwa hazioshwi kabla ya kutengenezwa
Mahindi huwa yanahifadhiwa na madawa ya kuzuia wadudu, huwa najiuliza kama kweli mahindi yale huoshwa vizuri kabla ya kuingizwa kwenye mashine ya bisi.
Nasikia, ni tiba ya constipation piaNi tiba ya kitambi
Yawezekana ikawa dawa lakini zikawa na sumu kwa kuwa hazioshwi kabla ya kutengenezwa
Halafu kuna mtu kaniambia eti na nguvu za kiumeni [emoji15] [emoji3]Nasikia, ni tiba ya constipation pia