Hivi BMW X6 ni ghalama sana mbona adimu sana haya magari mtaani

Hivi BMW X6 ni ghalama sana mbona adimu sana haya magari mtaani

Si maarufu ukanda wa mashariki...

Zipo X1, X2,X3, X4, X5, X6 na X7

Kwetu huwa naona X1 , X3 na X5...

nadhani hazijapendwa Tz
 
Ni gari ya 2007 au 2008 kama sikosei

Inakula sana mafuta ndiyo maana wengi hawazipendi pia spea zake ni adimu

Ila ukiwa nayo ni kibosi sana
Kama hujui kitu nyamaza utajidhalilisha usikute hata gari yenyewe inayoongelewa huijui
 
Back
Top Bottom