Hivi BMW X6 ni ghalama sana mbona adimu sana haya magari mtaani

Si maarufu ukanda wa mashariki...

Zipo X1, X2,X3, X4, X5, X6 na X7

Kwetu huwa naona X1 , X3 na X5...

nadhani hazijapendwa Tz
 
Ni gari ya 2007 au 2008 kama sikosei

Inakula sana mafuta ndiyo maana wengi hawazipendi pia spea zake ni adimu

Ila ukiwa nayo ni kibosi sana
Kama hujui kitu nyamaza utajidhalilisha usikute hata gari yenyewe inayoongelewa huijui
 
Au kwasababu niko mjini ila ndani ndani

Ndo maana siyaoni ..

Ipo moja tu Iringa nzima.
miaka minne nyuma! Kulikuwa n X6 kama mbili iringa nzima! Moja ya jamaa mmja ana workshop karib na alexander hotel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…