Bob Haisa yuko kwao Misungwi, mkoa wa Mwanza, siku ukipata nafasi ya kwendabMwanza kwa basi shuka Misungwi uliza kwa kina Bob Haisa utampata. hali yake ni kama hajawahi kutoa hata albamu moja.
Tatizo nini sasa kwanini haendelei na mziki au kafulia nini?
Aliyeimba
Kama wanipendaa aah nipe mgongo,nipande unibebe mpaka kwa mama,usichoke Dada nibebe tararibu.
Halafu
Chagua mwenyewe.
Jamaa sijui kapotelea wapi enzi hizi star tv walikuwa wanampa Sana air time
Shipando wa chile
BOB HAISA...Aliyeimba
Kama wanipendaa aah nipe mgongo,nipande unibebe mpaka kwa mama,usichoke Dada nibebe tararibu.
Halafu
Chagua mwenyewe.
Jamaa sijui kapotelea wapi enzi hizi star tv walikuwa wanampa Sana air time
H.Baba kawazalilisha kuliko Bashite alivyowazalilisha??Aliamua kuacha muziki baada ya H Baba kuanza kukata mauno. Kisukuma mwanaume kukata mauno ni kinyaa.
H Baba ametudhalilisha Mwanza tunaonekana kama .... huo mziki gani? Tutamshawishi arudi kwenye game kwa sababu H Baba keshaisha ng'wana wange.
Tatizo wasanii wa enzi hizoBob Haisa yuko kwao Misungwi, mkoa wa Mwanza, siku ukipata nafasi ya kwendabMwanza kwa basi shuka Misungwi uliza kwa kina Bob Haisa utampata. hali yake ni kama hajawahi kutoa hata albamu moja.