Hivi Bob Haisa kapotelea wapi?

Hivi Bob Haisa kapotelea wapi?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Aliyeimba
Kama wanipendaa aah nipe mgongo,nipande unibebe mpaka kwa mama,usichoke Dada nibebe tararibu.

Halafu

Chagua mwenyewe.

Jamaa sijui kapotelea wapi enzi hizi star tv walikuwa wanampa Sana air time
 
Bob Haisa yuko kwao Misungwi, mkoa wa Mwanza, siku ukipata nafasi ya kwendabMwanza kwa basi shuka Misungwi uliza kwa kina Bob Haisa utampata. hali yake ni kama hajawahi kutoa hata albamu moja.

Tatizo nini sasa kwanini haendelei na mziki au kafulia nini?
 
Tatizo nini sasa kwanini haendelei na mziki au kafulia nini?

Ni kama vile issue za mziki kaweka kando. Nilipokwenda Misungwi nilishuhudia jamaa akiwa kijiweni nje ya nyumba yao kuanzia asubuhi mpaka. Anafanya vikazi vidogo vidogo.
Hata wenyeji wanasema hawajamwona kwa kipindi kirefu akijishughulisha na mziki.
 
Aliyeimba
Kama wanipendaa aah nipe mgongo,nipande unibebe mpaka kwa mama,usichoke Dada nibebe tararibu.

Halafu

Chagua mwenyewe.

Jamaa sijui kapotelea wapi enzi hizi star tv walikuwa wanampa Sana air time

tatizo juhudi kaka!watu hawafanyi mziki kama biashara
 
kweli jamaa ni jembe la muziki wa kibongo anauweza nafikiri kuna kitu kitakuwa kinamsumbua,
 
yupo missungwi njia panda ya Mitindo ni jirani yangu alirudi nyumban aliaga kwa kuimba wimbo unaitwa Nashoka kaya means narudi nyumbani translated from kisukuma...

nawasilisha
 
Aliyeimba
Kama wanipendaa aah nipe mgongo,nipande unibebe mpaka kwa mama,usichoke Dada nibebe tararibu.

Halafu

Chagua mwenyewe.

Jamaa sijui kapotelea wapi enzi hizi star tv walikuwa wanampa Sana air time
BOB HAISA...
Ewe dada nipe mgongo nataka kupanda mieeeee.....
kisha tembea taratibu unipekee kwa Mamaaaaa
Kama wanipe ndaaaa nipe mgongooo nipande taratibuuuu,,,ukinifikishaaa utafurahii dadaaa ahaaa
Nipeleke nipelekee dadaaa...kule mwanzaaa...mwnza sehemu ganiii..pale misungwi.....
Tilato mbembeleze Dadaaaaa...anibembe mgongoni..
Kisinja mbembelze Dadaaaa...anibebe mgongoni....
Kula sato na Sangaraaaa....
 
Bob Haisa yuko kwao Misungwi, mkoa wa Mwanza, siku ukipata nafasi ya kwendabMwanza kwa basi shuka Misungwi uliza kwa kina Bob Haisa utampata. hali yake ni kama hajawahi kutoa hata albamu moja.
Tatizo wasanii wa enzi hizo
Walikuwa waoga kujiunga na "fuliimathoni,!
 
Back
Top Bottom