Hivi Bobi Wine anaamini kabisa anaweza kuja kuwa Rais wa Uganda?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Ana utoto utoto mwingi sana. Hata personality ya Urais hana. Nadhani abaki tu kuwa mwanaharakati wa vijana. Maana sidhani hata Baganda nao wanamchukulia serious.

Sema wanamtumia tu kumsumbua dictator Museven sababu hakuna mwingine tena mwenye makeke katika Siasa za Uganda ukimtoa Kizza Besigye. Ambaye huyu namwona ni mtu ambaye anaonekana kuwa serious na anaweza. Bob Wyne/Wine utoto mwingi.
 
Bob bado sana, huwezi kuwania uraisi ukawa unavaa vile una behave hivyo huyo bado sana huyo anachangamsha tu lkn ni ngumu sana bado hajakomaa hata kidogo
 
Hebu ainisha hapa huo utoto wa Boby Wayne.
 
Kama jpm aliweza kuwa rais nini ambacho hakiwezekani. Jpm alikuwa hana akili ya kiurais kabisa. Kidogo ukuu wa wilaya ungemfaa
 
Kama jpm aliweza kuwa rais nini ambacho hakiwezekani. Jpm alikuwa hana akili ya kiurais kabisa. Kidogo ukuu wa wilaya ungemfaa
Daah!!!! Kweli usemayo? Yule Mwamba angefufuka leo akasikia hili Daah!!!!! Wahenga walikuwa sahihi "Baniani Mbaya Kiatu Chake dawa", Lile Kundi mlilolibatiza Sukuma Gang njooni Mjibu mapigo. The late King is being dishonored ...
 
Usiyemzania ndiye yeye sasa
 
Kama yule dhalim wa kihutu aliweza nani atashindwa?
 
Kama IddAmini alipata kuwa kwanini sio Bobiwine🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…