Hivi Bobi Wine anaamini kabisa anaweza kuja kuwa Rais wa Uganda?

Ni ukosefu wa fikra tu kudhani kuna mtu bora kuliko wengine.
Daah!!!! Kweli usemayo? Yule Mwamba angefufuka leo akasikia hili Daah!!!!! Wahenga walikuwa sahihi "Baniani Mbaya Kiatu Chake dawa", Lile Kundi mlilolibatiza Sukuma Gang njooni Mjibu mapigo. The late King is being dishonored ...
 
Sukuma Gang wanaandaa mrithi
 
Isingekuwa figisu, jamaa angeingia ikulu. M7 na timu yake wanamwogopa kama upupu.
 
Ujinga mtu ni upumbavu wetu vijna mnaopatikana east afrika hasa Tz na Uganda

Angalieni macron alioa Bibi yake kabisa au mama ake na Leo rais ufaransa ingekua bongo au Uganda angekosa urais kwani angeonekana Hana adabu analaana

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mbona bwana Zele wa Ukraine Ni Rais?

Bobi ana akili kuliko hizo takataja za sijui personality and such upuuzi
 
Mbona bwana Zele wa Ukraine Ni Rais?

Bobi ana akili kuliko hizo takataja za sijui personality and such upuuzi
Sasa Zelewsky unamfananisha na BoB wine? Please uwe na heshima na watu. Bob Wine hatokuja kuwa Rais wa Uganda. Waganda si wapumbavu kiasi hicho.
 
Sasa Zelewsky unamfananisha na BoB wine? Please uwe na heshima na watu. Bob Wine hatokuja kuwa Rais wa Uganda. Waganda si wapumbavu kiasi hicho.

Kwahiyo jenerali muhoonzi ndio anafaa kuja kuwa rais au sio?
 
Hivi wewe bado mdogo ivo?? ! zile ni sarakasi za Museveni, Konyi yuko wapi hapa Duniani? yuko uganda humo humo!! Baganda, Lakuena walizikwa humo humo tena na serikali!

Museven anajua michezo yooote kaiweka Uganda mahala salama sana hkn atakaye weza haya labda Kainerugaba
 
Ungetulia uandike kwa utulivu ueleweke
 
Bob bado sana, huwezi kuwania uraisi ukawa unavaa vile una behave hivyo huyo bado sana huyo anachangamsha tu lkn ni ngumu sana bado hajakomaa hata kidogo
unamjua rajolina, wakati anachukua urais katoka kupiga disco club maana alikuwa DJ,rais anapigiwa kura na wananchi wote hapimwi kwa vigezo unavyoviongea ww. nikwambie ni hivi akija DUDUBAYA, MATONYA,AUNT EZEKIEL n.k akataka urais na akapata suport ya kutosha atakuwa raisi whether you or not. kura zikitosha tu kawa purezidaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…