Nashindwa kuelewa hii bodi ya wakurugenzi ya NMB, mbona mpo kimya sana na mambo yanayoendelea NMB kwasasa.
Huyu mtu anayeitwa Pete Novat amekuwa na madaraka makubwa sana kaachiwa na huyu Mama wa kizungu ananyanyasa sana watu, hasa kwenye upande wa rasilimali watu. Kazi anajaza ndugu zake NMB na watu anayewataka yeye. Na kazi yake nikusikiliza umbea na kukomoa watu na kupenda kuhodhi kila kitu.
Yeye kama Director wa ICT idara yake ina ajiri kila mwezi lakini yote inatokana na kuachiwa kusimamia idara ya rasilimali watu na hakuna mtu anayemwambia kitu. Anasema yeye ndo mwenye benki sasa. Anataka kushikilia kila kitu biashara, ICT, rasilimali watu na uvumbuzi wa bidhaa.
Huyu jamaa anaiba hela nyingi sana za benki kwa system ambazo hazina mbele wala nyuma. Ushahidi wa transaction zake za benki zipo. Na yule mkenya anayembeba wa eclectics mwambie mwisho wake yeye na wewe unakaribia na mahakama ya mafisadi inawaita.
Bodi chunguzeni huyu mtu hata kwa kuuliza wafanyakazi wa NMB makao makuu, anaiingiza benki hasara.
=====
Ufafanuzi kutoka NMB;
=====
Tunachulia kwa uzito tuhuma zilizotolewa na kuelekezwa kwa baadhi ya wafanyakazi wetu kwani zina lengo zuri la kuifanya benki kuendelea kuwa namba moja kwenye kusimamia maadili.
Ndugu wana jukwaa, NMB tunajipambanua kwa kusimamia maadili mojawapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wetu pamoja na kuwa na sera kali dhidi ya rushwa na upendeleo wa aina yoyote katika kutoa ajira.
Habari zaidi, soma=>NMB: Tutaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu - JamiiForums