hivi bodi ya mikopo (heslb) ni kwa ajili ya Udsm peke yake

chimpa100

Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
44
Reaction score
5
nadiriki kusema kwamba bodi ya mikopo(heslb) waziwazi imekua ikiwapa kipao mbele wanafunzi wa udsm bila kujali mahitaji ya fedha kwa wanafunzi vyuo vingine,juz umetokea mgomo chuo kimoja huko iringa baadhi ya walioohojiwa walisema "mbona wenzetu udsm wamepewa ela teyari lakin sisi bado" hili ni tatizo ambalo bodi inaliona lakawaida kwa vile vyuo viko mbali ila kiukweli heslb lifanyieni kazi hili
 
si kweli mbona SUA,huwa wanapewa kwa wakati muafaka hata UD huwa wanalalamika hivyohivyo kama ninyi,sema DVC A&F,wenu hafatilii kwa ukaribu
 
si kweli mbona SUA,huwa wanapewa kwa wakati muafaka hata UD huwa wanalalamika hivyohivyo kama ninyi,sema DVC A&F,wenu hafatilii kwa ukaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…