chimpa100
Member
- Mar 28, 2012
- 44
- 5
nadiriki kusema kwamba bodi ya mikopo(heslb) waziwazi imekua ikiwapa kipao mbele wanafunzi wa udsm bila kujali mahitaji ya fedha kwa wanafunzi vyuo vingine,juz umetokea mgomo chuo kimoja huko iringa baadhi ya walioohojiwa walisema "mbona wenzetu udsm wamepewa ela teyari lakin sisi bado" hili ni tatizo ambalo bodi inaliona lakawaida kwa vile vyuo viko mbali ila kiukweli heslb lifanyieni kazi hili