kwa kweli sio nzuri zinaleta mambo mabaya sana kwa watoto....
Zinaharibu watoto
wote mliochangia kuusu uharibifu wa filamu hizi kwa watoto na jamii nawaunga mkono kabisa, tasnia hii imevamiwa na kuzimu ni uchafu mtupu wanaolishwa watu na hawa watumishi wa shetani.Bongo mavi weka mbali na watoto
Kama unawapenda
hazifai mzeya.. hata kama huangalii kwani husikii mbabu.. bongo moviez ni bongo lala.. kuna dogo mmoja(wakiume) alikua anapenda sana ile muvi ya SHOGA.. kila mara alikua anapenda kuitizama.. daaah mpaka leo wadau wanajilia kiboga.. ukiwa na pesa yako unajipigia mzigo so kuwa makini sana weka mbali na watotozzz..Sio mpenzi kabisa kabsaaaa wa hizi muvi za bongo wala Naijeria.
Ila hapa hom mda wote nikienda nikirudi mke na watoto nakuta wameconcetrate [emoji15] hadi wanaunguza chakula.
Sababu sio mpenz wa hizo muvi me nikifika hom nachukua laptop naingia JF maana ndio burdani yangu ingawa kuna vilaza huku wengine wanaharibu maadili ila kwa kusoma huwezi kuharibika km kutazama muvi.
Hivi nnavyowaachia huo uhuru wa kutazama na kujiachia zinawajenga au kuwaharibu ili nipige block channel za kibongo muvi.