Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Ushawah kuskia msemo wa "chupi tako"?? Ss inatakiwa uitandike adi pale unapoona ukikaa inang'ang'ania kwe tako
 
Mi bhana hizi huwa nazinunua kwa mafungu na kinachofuata hapo, ni vaa, tupa uvunguni! Vaa, tupa uvunguni! Kwa bahati mbaya nimesafiri, ningezifurumua huko uvunguni kuona zipo ngapi na chini ya godoro ambazo sijavaa zimebaki ngapi na hapo ningefahamu by average natumia wiki ngapi! Oh! Nimekumbuka! Hello my Princess Queen Khantwe; hebu nenda basi pale ghetto ukanisaidie hilo zoezi!
😂😂😂😂🙌🏽
 
Mkuu naona boxa yako ukivua inaanguka chini inasimama kama meza
 
Kikubwa ni uchafu

Hata kama una chupi mbili 2
Ukioga leo utafua 1 uiache ikauke siku nzima
utavaa ingine uliofua jana

Uvivu wengine, ni bora tununue mengi uyabadilishe yakifika mengi ndio unafua
 
Back
Top Bottom