Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Ushawah kuskia msemo wa "chupi tako"?? Ss inatakiwa uitandike adi pale unapoona ukikaa inang'ang'ania kwe tako
 
Nina boxer kama 40 hiivi, hii ni kutokana na uvivu wa kufua fua kila muda
 
Swali kwa wadau wote wa boxer.

Swali jepesi sana.

Mimi kawaida huwa na vaa boxer miezi 6 hadi 8 kisha ndo nafua huyo ni mimi.
Siijajua kwa ninyi wadauu

Kuwa mkwelii tu

View attachment 1103899
Kumbe Tanzania hamna maji ya kuosha Boxer? Acha niambie Jaguar awahurumie , haina haja mrejeshwe kwenu mteseke
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½
 
Mkuu naona boxa yako ukivua inaanguka chini inasimama kama meza
 
Kikubwa ni uchafu

Hata kama una chupi mbili 2
Ukioga leo utafua 1 uiache ikauke siku nzima
utavaa ingine uliofua jana

Uvivu wengine, ni bora tununue mengi uyabadilishe yakifika mengi ndio unafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…