kweli kama unadhani Shehe Ponda ni timamu umekosea, huyu ni msaliti wa watu wake, wajamii yake na hakika huyu jamaa mara zote amekua akipiginia mkate wake, kama unabisha mpe elfu kumi kisha mpe masharti yoyote atafanya, hana maana huyu.labda watamuweka shehe ponda...hahahaha
Waislam mna rais muislam mpeni ushauti huko msikitini awatume watu wa uhamiaji wakamhoji Pengo uraia kama JK anao ubavu .Maana naona sasa badala ya hoja mnalia na Pengo tu . Kichwa kile baba mwekeni hapo nani sijui wa Bwakata kama ataambulia lolote . Kama mnabisha wekeni muone .
.Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.
Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.
Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.
sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.
Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.
Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.
naomba wanasheria mlifafanue hilo.
Sasa tujaalie kadinari Pengo kachaguliwa kuwa Pope wa vatican, sasa itakuwaje?
nafikiri hili ndio kusudio lake. Hafif kama nimekosea kukuelewa naomba unikosoe.
.Kadinali Polycarp Pengo akichaguliwa kuwa Pope wa wakatoliki ( hakuna Pope wa Vatican) kwa sheria za nchi yetu itabidi aachie uraia wa Tanzania na achukue uraia wa State of Vatican. Kama tutakuwa na utaratibu wa dual citizenship basi ataongezea uraia wa State of Vatican kwenye utanzania wake. Sasa hii inahusiana nini na uraia wa kadinali sasa hivi wakati ambapo pengine hata upope hauwazii. Mbona Rugambwa alikufa bila kuwa Pope? kwa mtazamo wenu basi Hasheem Thabeet si raia wa tanzania maana kuna uwezekano mkubwa wa siku za usoni akachukua uraia wa Marekani!
Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.
Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.
sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.
Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.
Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.
.
hebu soma hoja yake hii
Soma hapo vizuri hoja zake kisha tumsaidie kisheria.
Kadinali Polycarp Pengo akichaguliwa kuwa Pope wa wakatoliki ( hakuna Pope wa Vatican) kwa sheria za nchi yetu itabidi aachie uraia wa Tanzania na achukue uraia wa State of Vatican. Kama tutakuwa na utaratibu wa dual citizenship basi ataongezea uraia wa State of Vatican kwenye utanzania wake. Sasa hii inahusiana nini na uraia wa kadinali sasa hivi wakati ambapo pengine hata upope hauwazii. Mbona Rugambwa alikufa bila kuwa Pope? kwa mtazamo wenu basi Hasheem Thabeet si raia wa tanzania maana kuna uwezekano mkubwa wa siku za usoni akachukua uraia wa Marekani!
Amandla.........
Kwanza ningependa kusema hii mada haina maana yeyote kwa sababu utaifa wa Kadinali Pengo unajulikana kuwa ni Mtanzania, nadhani mwandishi wa hii mada aliamua kuleta porojo ambazo hazina maana yeyote kwenye uulizaji wa swali lake.
Lakini kinachoshangaza ni jinsi ya baadhi ya watu wanaoheshimika humu ndani kukurupuka na kuanza kutoa shutuma kwa waislamu na uislamu kana kwamba wana uhakika mwandishi wa porojo hizi anawakilisha uislamu au waislamu, Hivi mna uhakika gani aliendika hii mada ni Muislamu? Ina maana kila mtu anayehoji kitu chochote kuhusiana na Kadinali Pengo basi ni Muislamu?
Kweli kabisa mkulu!Hizi mada zingine ni pumba tu bana!kajisaidie ule mkuu wa mada hii!Mi nadhani hoja ya utanzania wa Kardinali hauna msingi wowote. Kwani Asha-Rose Migiro si Mtanzania? Mbona ana pasipoti ya Umoja wa Mataifa? Mbona Salim A. Salim alipkuwa rais wa Umoja wa Mataifa alikuwa na pasipoti ya UN, je utanzania wake ulikufa? Hapana! Sasa Cardinal Pengo kuwa Kardinali ndio imekuwa nongwa? Pengo hana uraia wa nchi mbili. Kwa hiyo hoja yako haina msingi.
sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.
Swaumu hufanya ubongo wakati mwingiene kushindwa kufanya kazi....upuuzi huu...!
Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.
Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.
Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.
Hapa swala kuu ni "kama". Mpaka hapo ata kapo chaguliwa kuwa papa(kama ata chaguliwa) yeye ni Mtanzania 100%.sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.
Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.
Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.
.
Naona watu takriban wooote wanakuandama Bro Hafif lakini mimi nimesoma kwa makini sana nimeona kuna logic na suala lako ni zuri ambalo ingebidi wanajamii mumuelimishe kuliko kumtukana.
. Nilivyokuelewa mimi ni kuwa. Kila mwananchi ana haki ya kuchaguliwa au hata kuchagua viongozi wake ili muradi akidhi masharti ya nchi husika. Nchi nyingi sharti kuu ni Uraia na umri.
. sasa suala lake Pengo ana kidhi matakwa ya kuwa kiongozi wa juu wa Vatiican na anaweza kuwa kiongozi wa juu wa Tanzania.
. Sasa tujaalie kadinari Pengo kachaguliwa kuwa Pope wa vatican, sasa itakuwaje?
Karibu kaka. Hebu tupe hoja zako kwa mujibu wa sheria za Tanzania.. Binafsi nitamweleza suala hili Nasriyah alifafanue kisheria zaidi na kukujibu hapa hapa ukumbini..
Mbona sijakuelewa!! ni kipi kinachomvua Cardinal Pengo huo uraia? Kupiga kura ya kumchagua papa haina maana yeye sio mtanzania. Huo utanzania anauondoa vipi?Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.
Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.
Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.
sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.
Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.
Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.
naomba wanasheria mlifafanue hilo.
naleta hoja