Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.
Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.
Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.
sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.
Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.
Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.
naomba wanasheria mlifafanue hilo.
naleta hoja
Kimsingi ni kuwa Wakatoliki wote ni raia wa Vatican.
Watu wengi hawajui lakini ukweli ni kuwa sio lazima Pope awe Cardinal...pope anaweza kuwa mlei, padri au hata mtawa (bruda). Sasa kama hawa wote wanaweza kuchaguliwa pope inamaanisha nn? Sifa ya pekee ni kuwa tu mkatoliki.
Mtapoteza tu muda wenu ila mjue kila Mkatoliki ni raia wa Vatican na sio pengo peke yake
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ni raia wa Tanzania, na pia ni raia wa Vatican. Kulingana na sheria ya Tanzania Pengo anakwenda kinyume kwa sbb ana uraia popo. Pengo anasafiri akitumia pasipoti ya Vatican ambayo ina hadhi ya Kibalozi, kuliko ile ya Tz ambayo ni ya kawaidaPengo ni mtanzania halisi(mtanganyika)anatoka rukwa,kabila lake ni mfipa.anatoka kijiji cha Mwazye.SASA HAYO MENGINE NI KWA MUJIBU WA KATIBA YA ROMAN CATHOLIC NA SI KWA KATIBA YA TANZANIA.na katiba ya Roman Empire haibadilishi utanzania wa mtu.
Wewe acha kudanganyanya watu hapa, JF sio kikao cha kahawa ni nakadinari tu ndio automatically ni raia wa Vatican. Mimi ni mkatoliki na aliyeleta mada japo ni ya zamani ana hoja ya msingi.Kimsingi ni kuwa Wakatoliki wote ni raia wa Vatican.
Watu wengi hawajui lakini ukweli ni kuwa sio lazima Pope awe Cardinal...pope anaweza kuwa mlei, padri au hata mtawa (bruda). Sasa kama hawa wote wanaweza kuchaguliwa pope inamaanisha nn? Sifa ya pekee ni kuwa tu mkatoliki.
Mtapoteza tu muda wenu ila mjue kila Mkatoliki ni raia wa Vatican na sio pengo peke yake
Simply incoherent, unsubstantiated and self defeating in a way that would make Plaxico a war hero.
Yaani unajenga hoja halafu unaibomoa mwenyewe, nyingine unaijenga bila msingi.
The structure of the state of Vatican, being based on a Roman Catholic city- state and a wordwise constituent, is unique and your comparison is the proverbial comparison of apples to oranges.You conceded that Cardinal Pengo holds a Tanzanian passport and that should close the matter.
To make matters worse, you want to disqualify cardinal Pengo based on his ecclesiastic eligibility and an unrealized future, why don't you then go ahead and declare all Catholics -or at least the unmarried ones- to be non-Tanzanians because they are eligible to enter the clergy and eventually be pope?
What kind of lethargic logic is this? Is there something else behind this unfortunate if not unassertive argument?
Is this the best you can do?
Kumbe Upo............