Hivi CCM haina uongozi, inakuwaje wanachama wake wanashambuliana mpaka tuhuma za kuwekeana sumu lakini haichukui hatua yoyote?

Kanuni ya wahuni ni kumalizana kihuni uwa amna protocol
 
hizo mnazotaka ni tamaa tu za kuongoza nchi ambayo hamjajiandaa kuongoza hivi lissu awe rais si ni vichekesho
 
Cc.
Pascal Mayalla
Ione kwenye jalada lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…