DJ Mbowe yuko wapi tumemmiss DJ wetu!Uko nje ya mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DJ Mbowe yuko wapi tumemmiss DJ wetu!Uko nje ya mada
Kanuni ya wahuni ni kumalizana kihuni uwa amna protocolUkiyafuatilia ya Arusha mjini utashangaa sana na utajiuliza kama chama hicho kina uongozi wa kitaifa.
Kuna ya kutisha na kuogopesha sana yanafanywa na Wahusika wenyewe pamoja na wapambe wao, lakini viongozi wao wa kitaifa wamenyamaza huku wakihangaika kugawa mitungi ya gesi yenye picha za Samia.
Unaambiwa ni balaa! kuna hadi Tuhuma za kuwekeana sumu pamoja na kulogana wazi wazi! Inatisha! Hata hivyo uchunguzi wetu umebaini kwamba haya masuala ya sumu kwa ccm si mageni na wala hayajawahi kuchukuliwa hatua za maana, Nani aliyesahau Sumu aliyolishwa Mangula ndani ya ofisi za ccm lumumba, Pamoja na Polisi kukiri sumu ile lakini nani alichukuliwa hatua?
Ni aibu sana kwa Chama kizee kama hiki kuwaacha Wahuni tena Wageni waharibu amani Arusha, Je wanataka kitokee nini ili waingilie kati?
View attachment 3251692
hizo mnazotaka ni tamaa tu za kuongoza nchi ambayo hamjajiandaa kuongoza hivi lissu awe rais si ni vichekeshoWewe utakuwa ni mmoja ya wale walifukuzwa na Magu pale UDOM kuwa ni vilaza.
Eti nchi iliyojaa Demokrasia? Demokrasia ni pamoja na kufanya REFORM katika Election ili uwe wa haki kwa wote. Sasa utaogopaje REFORM kama ni nchi ya demokrasia?
Mada zilizokuzidi kimo unge achana nazo tuu
Cc.Ukiyafuatilia ya Arusha mjini utashangaa sana na utajiuliza kama chama hicho kina uongozi wa kitaifa.
Kuna ya kutisha na kuogopesha sana yanafanywa na Wahusika wenyewe pamoja na wapambe wao, lakini viongozi wao wa kitaifa wamenyamaza huku wakihangaika kugawa mitungi ya gesi yenye picha za Samia.
Unaambiwa ni balaa! kuna hadi Tuhuma za kuwekeana sumu pamoja na kulogana wazi wazi! Inatisha! Hata hivyo uchunguzi wetu umebaini kwamba haya masuala ya sumu kwa ccm si mageni na wala hayajawahi kuchukuliwa hatua za maana, Nani aliyesahau Sumu aliyolishwa Mangula ndani ya ofisi za ccm lumumba, Pamoja na Polisi kukiri sumu ile lakini nani alichukuliwa hatua?
Ni aibu sana kwa Chama kizee kama hiki kuwaacha Wahuni tena Wageni waharibu amani Arusha, Je wanataka kitokee nini ili waingilie kati?
View attachment 3251692
Huyo atakuambia Mama ni BabaCc.
Pascal Mayalla
Ione kwenye jalada lake
UMESEMAJE HAPO KWELI?Thadei Ole Mushi kada msema kweli wa CCM aliuwawa kwa kulishwa sumu na kada mwenzake wa CCM Gilbert Masawe
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani- KikweteUMESEMAJE HAPO KWELI?