Pasco alipata moja, hivyo anaweza kupeta Kawe!!!Aliepata sifuri ndo aje apeperushe bendera eeh hii inaitwa yekete
Aiseeee...naimani umejibu tu lakin haupo ndan ya chamaJibu ni NDIYO.
Sidhani kama paskali alitoa rushwaWote wametoa rushwa...tofauti ni kiwango
Jamaa yako katisha kamfunika mpaka Mpoki.Wapo ambao hawajatoa kabisa na walionekana siku ya kuchukua fork na kupigiwa kura tu..mimi nina classmate wangu aligombea kigamboni na kapata kura tano hajatoa hata mia zaid ya hela ya form tu
Ingekua ni ccm ile ya miaka iliyopita mwaka huu majimbo mengi sana yangepita na upinzani maana mfumo wa safari hii ni waovyo kupata kutokea ila ndo hivo tena magu hatak utan linapokuja suala la ccm kupitaWakifanya hivo ndo vizuri ili majimbo mengi yaende upinzani, maamuzi ya wajumbe yaheshimiwe
Nadhan kuna watu mle ndan tu walikua hawamtaki kakaJamaa yako katisha kamfunika mpaka Mpoki.
Au ndio mzee wa tokomeza zero
Huyu namfahamu Sana kwanza ameoa, asingeweza kukaa na j hata miezi 6.Ndio mfano mwaka 2015 Dodoma makao makuu nafasi za 3 bora Amina salum Ali alishinda kwa kura nyingi za ugombea urais wa mungano lkn hakupewa yy kapewa mwengine