tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mwl, Julius K. Nyerere, mwaka 1995 akizungumza na waandishi wa habari utaratibu wa kumtafuta mgombea Urais wa CCM….
Soma pia: Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
Miaka 30 kupita, mwaka 2025, CCM wameamua kupuuza ushauri huu wa Mwl, Julius K. Nyerere ambao aliutoa 03.03.1995
Leo, tujikite zaidi katika maudhui ya hotiba ya Mwl, J.K Nyerere alipokuwa akizungumza na wanahabari Kilimanjaro Hotel…
Ukumbi uliitwa “Tanzania Room” - Hotuba hii ya Mwl, J.K Nyerere ilipewa jina la “Nyufa za Nchi, Muungano, Katiba na Rushwa”
Mwl, Nyerere alitaka wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wasifanyiwe ‘ambush’ na kikao cha NEC kuwaletea mgombea.
Mwl, Nyerere alitaka utaratibu wa kumtafuta na kumpata mgombea Urais wa CCM uwe ni mchakato unaowashirikisha wanachama.
Mgombea wa CCM asitafutwe kichinichini. Kwamba, mtu anayetaka kugombea nafasi ya Urais aulizwe maswali na wanachama.
Mgombea Urais wa CCM apite kwa wanachama kutafuta wadhamini na huko wanachama watamuuliza kwanini anataka kuwa mgombea
Kwamba, CCM wasiogope kuwa na wagombea wengi katika nafasi ya Urais. Wanachama wa CCM wataamua baada ya kuwasikiliza.
Mwl, Nyerere anahoji, kama kwa madiwani na wabunge CCM inatafuta maoni ya wanachama kwanini siyo kwa mgombea Urais?
Mwl, Nyerere alisisitiza kwamba, maoni ya wanachama yasipuuzwe. Wanachama wapewe muda wa kutafakari na kuamua wenyewe.
Kimsingi Mwl, J.K Nyerere hapa alikuwa akizungumza kuhusu CCM kufuata utaratibu wa kumtafuta na kumpata mgombea kihalali.
Mwl, Nyerere anawaeleza CCM kwamba waanze kujifunza maadili ya vyama vingi. Anataja CUF, CHADEMA, NCCR-MAGEUZI..
Kwa sababu ya uwepo wa vyama vingi, CCM hawatakiwi kupuuza maoni ya wanachama wake katika kutafuta mgombea wake…
Lakini kwa kuwa chaguzi sasa zimeharibika na CCM wanapora mchakato wa uchaguzi, wameamua kuvunja hata katiba yao.