Wanachezea pesa za walipa kodi.......wezi watupuuuu.....wapiga deal.....Wanajamvi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema
Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani????
Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi?
Binafsi naona aibu
Nasoma comment.
Wanapoteza hela tu haoWanajamvi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema
Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani????
Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi?
Binafsi naona aibu
Nasoma comment.
CCM ni kama fisi linapofika swala la madaraka kwenda kuiba mali za umma hawana aibu wanaweza kushindana hata na BAKWATA mradi wafanye maigizo ya kuingia IkuluWanajamvi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema
Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani????
Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi?
Binafsi naona aibu
Nasoma comment.
Wamemkamata mpinzani wao mkuu wamemsweka ndani, Kisha wakatengeneza wapinzani fake na kuwaweka kwenye mashindano.Wanajamvi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema
Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani????
Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi?
Binafsi naona aibu
Nasoma comment.
Sijui alitaka Lisu afanye kampeni akiwa magerezaWamemkamata mpinzani wao mkuu wamemsweka ndani, Kisha wakatengeneza wapinzani fake na kuwaweka kwenye mashindano.
Kwa uchaguzi upi wapi? Maana Tanzania ya leo kuna uchaguzi wa Maigizo uchaguzi huru na haki bila uchakachuaji Polisiccm kuwabambikia kesi za uongo lazima ccm itupwe nje na kuwa kama KANU ya kenyaWanajamvi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema
Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani????
Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi?
Binafsi naona aibu
Nasoma comment.
Wagombea magumashi mapandikizi yanakula pesa bure, luzuku ya kuwalipa wagombea hewa wa kutengenezwa na ibilisi wa ccm kwa njia haramu za kishetani ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodiWamemkamata mpinzani wao mkuu wamemsweka ndani, Kisha wakatengeneza wapinzani fake na kuwaweka kwenye mashindano.
Haya ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
Vyama chawa mchepuko wa ccmACT,CHAUMA,NCCR,CUF wote hao wanawagombea