GE2025 Hivi CCM mnakwenda kushindana na nani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hizo pesa eti bilioni 80 wanazodai zilichangwa kuwasaida kwenye uchaguzi ambao haupo kwa nini wasiziundie mfuko maalum wa bima zisaidie wananchi kupata huduma za afya ambazo ni kama hazipo nchini.
 
Hizo pesa eti bilioni 80 wanazodai zilichangwa kuwasaida kwenye uchaguzi ambao haupo kwa nini wasiziundie mfuko maalum wa bima zisaidie wananchi kupata huduma za afya ambazo ni kama hazipo nchini.
Kabisa
 
Acha kuweweseka kwakujifanya hamnazo.Uchaguzi sio kwaajili ya kushindana kwasababu sisi wote ni wale wale.Bali uchaguzi nikwaajili yakuonyesha utofauti kati ya huyu na yule ili kukidhi kanuni ya demokrasia ya wengi wape.Sasa kama mgombea unayemtaka kakimbia hiyo ni shida yako cha msingi ni nchi ije ipate kiongozi atakayetokana na uchaguzi mkuu.
 
Tanzania uchaguzi mkuu bila upenzani tujipange Kwa athari zake
 
Wanashindana na upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…