Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna jambo linaendelea kwenye Kampeni za Serikali za mitaa zinazofanywa na chama kinachoitwa chama Cha mapinduzi (CCM).
Jinsi wanavyoongea kwenye Kampeni hizo, ni kama vile hao watu wa CCM wamo kwenye chama kipya Cha siasa kilichosajiliwa hivi karibuni.
CCM wanashangaa matatizo waliyonayo watanganyika kama vile kulikuwa na chama kingine kinaongoza Serikali za mitaa na siyo CCM.
Miaka mitano iliyopita, CCM ilikuwa inaongoza 99.99 ya vitongoji, mitaa na vijiji Tanganyika. Lakini Leo viongozi wake wanatoa ahadi kama vile siyo chama chao kilichokuwa kinaongoza Serikali za mitaa Tanganyika.
Au CCM hii siyo ile iliyojitangaza kushinda mwaka 2019?