LGE2024 Hivi CCM ni chama kipya kilichosajiliwa mwezi huu?

LGE2024 Hivi CCM ni chama kipya kilichosajiliwa mwezi huu?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CCM haina tofauti na hawa manabii, sogea tukuombee upate nyumba na gari ila mwisho anakukamua na sadaka jiukize kwa nini na yeye tusimwombee apate kazi ama biashara badala ya kutegemea sadaka.
Wewe jamaa😀😃😃😆
 
Mtanzania mwana TCCM kindakikandi huyu (chiembe) hapa anajibu hoja yako

Jirani zetu...
Wapo waliokuwa wajinga lakini sasa wanaanza kupata akili.
Wapo waliokuwa wamelala lakini taratibu wanazinduka kuamka.
Wapo waliokuwa wamefungwa minyororo wasije wakafurukuta.
Wapo waliokuwa wamefungwa midomo wasiweze kuongea.

Hayo yote kwa binadamu hai ni ya muda tu, hayadumu milele!
Walioelimika, wakajitambua huwa tayari kukaribisha mabadilko.

Sisi Watanganyika...(Watanzania bara?)
Hatuhitaji shule wala chuo, tuna CCM!
Hatuhitaji dini wala imani, tuna CCM!
Hatuhitaji uhuru wala haki, tuna CCM!
Hatuhitaji utu wala undugu, tuna CCM!
Hatuhitaji nchi wala utaifa, tuna CCM!
Hatuhitaji Katiba wala dira, tuna CCM!

Watanzania hatuwezi kuamshwa, kuelimishwa wala kupokea mabadiliko...hatuna uhai, tuna CCM!
Kuna jambo linaendelea kwenye Kampeni za Serikali za mitaa zinazofanywa na chama kinachoitwa chama Cha mapinduzi (CCM).

Jinsi wanavyoongea kwenye Kampeni hizo, ni kama vile hao watu wa CCM wamo kwenye chama kipya Cha siasa kilichosajiliwa hivi karibuni.

CCM wanashangaa matatizo waliyonayo watanganyika kama vile kulikuwa na chama kingine kinaongoza Serikali za mitaa na siyo CCM.

Miaka mitano iliyopita, CCM ilikuwa inaongoza 99.99 ya vitongoji, mitaa na vijiji Tanganyika. Lakini Leo viongozi wake wanatoa ahadi kama vile siyo chama chao kilichokuwa kinaongoza Serikali za mitaa Tanganyika.

Au CCM hii siyo ile iliyojitangaza kushinda mwaka 2019?
 
Attachments

  • IMG_3824.jpeg
    IMG_3824.jpeg
    50.6 KB · Views: 3
  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    24.3 KB · Views: 4
  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
CCM ni wapumbavu sn
Kuna mpumbavu hapa jirani yangu kaniazima pikipiki nikafikiri anasafari ya maana..
Natoka nje naona anaipamba na mabendera ya ccm, huku mashangingi mawili yakiwa na madera ya kijani yakimsubiri ayapakize mishikaki.
Ajaamini macho yake, nimemnuanganya funguo na kumrudishia pesa yake ya mafuta SITAKI CHOMBO CHANGU KUSHIRIKI LAAANA.
 
Hongera mkuu usishiriki haramu kabisa
 
Kuna jambo linaendelea kwenye Kampeni za Serikali za mitaa zinazofanywa na chama kinachoitwa chama Cha mapinduzi (CCM).

Jinsi wanavyoongea kwenye Kampeni hizo, ni kama vile hao watu wa CCM wamo kwenye chama kipya Cha siasa kilichosajiliwa hivi karibuni.

CCM wanashangaa matatizo waliyonayo watanganyika kama vile kulikuwa na chama kingine kinaongoza Serikali za mitaa na siyo CCM.

Miaka mitano iliyopita, CCM ilikuwa inaongoza 99.99 ya vitongoji, mitaa na vijiji Tanganyika. Lakini Leo viongozi wake wanatoa ahadi kama vile siyo chama chao kilichokuwa kinaongoza Serikali za mitaa Tanganyika.

Au CCM hii siyo ile iliyojitangaza kushinda mwaka 2019?
Wanawajua watanganyika wako usingizini, mpaka waamke kwisha
 
Yaani hiki chama kinachekesha Sana. Sasa wamemkamata Mbowe kafanya nini?
 
Back
Top Bottom