Uchaguzi 2020 Hivi CCM wamepanga kutumia Tsh. ngapi hadi kampeni ziishe?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Chama hiki kinajinasibu kama ni cha uwazi na uzalendo nadhani watakuwa wameweka wazi hilo sehemu flani. Maana kila nikipita mitaani naona wao tu ndio wanaendelea na harakati za kuweka mabango.

Nimepita mnazi mmoja kuna diwani anamabango makubwa kuliko hata ya mgombea urais. Nimepita Mtaa flani nimeona mafundi vyerehani wako bize wakifyatua mikoba, mashati na kila kifaa cha kampeni nadhani ni maandalizi ya ujio wa mgombea wao urais akija DSM.

Jamani tuacheni utani hiki chama kina mahela aisee. Mbunge au diwani kutoka upinzani atakayrshinda uchaguzi huu awekwe kwenye jumba LA Makumbusho kama mtanzania mpambanaji katikati ya mazingira yasiyowezekana. Wajukuu wetu wake wajifunze.

Shikamoo CCM sidhani kuna chama kama hiki duniani, kimejidhatiti kiuchumi na kisiasa
 
CCM ni chama kilicho jizatiti kimkakati , rasilimali fedha na watu ! Tukubali tukatae kuitoa CCM madarakani kwa upinzani huu bado sana ! Na huo ndo ukweli mchungu!.
 
CCM ni chama kilicho jizatiti kimkakati , rasilimali fedha na watu ! Tukubali tukatae kuitoa CCM madarakani kwa upinzani huu bado sana ! Na huo ndo ukweli mchungu!.
Naunga Mkono hoja. Jamaa wako vzr.
Labda waje wasalitiane na kugawana Mali na kurudisha zile za serikali enzi ya chama kimoja aisee.

Bora wangeruhusu mabeberu wawaboost kidogo wapinzani ili mizania ikaribiane. Hii sio fair kabisa
 
CCM ni chama kilicho jizatiti kimkakati , rasilimali fedha na watu ! Tukubali tukatae kuitoa CCM madarakani kwa upinzani huu bado sana ! Na huo ndo ukweli mchungu!.
Fisiemu haiwezi kutoka kwa njia ya makaratasi, safari hii Mungu haachiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…