matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Chama hiki kinajinasibu kama ni cha uwazi na uzalendo nadhani watakuwa wameweka wazi hilo sehemu flani. Maana kila nikipita mitaani naona wao tu ndio wanaendelea na harakati za kuweka mabango.
Nimepita mnazi mmoja kuna diwani anamabango makubwa kuliko hata ya mgombea urais. Nimepita Mtaa flani nimeona mafundi vyerehani wako bize wakifyatua mikoba, mashati na kila kifaa cha kampeni nadhani ni maandalizi ya ujio wa mgombea wao urais akija DSM.
Jamani tuacheni utani hiki chama kina mahela aisee. Mbunge au diwani kutoka upinzani atakayrshinda uchaguzi huu awekwe kwenye jumba LA Makumbusho kama mtanzania mpambanaji katikati ya mazingira yasiyowezekana. Wajukuu wetu wake wajifunze.
Shikamoo CCM sidhani kuna chama kama hiki duniani, kimejidhatiti kiuchumi na kisiasa