jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,540
- 25,834
Wanajamvi,
Nimekutana na thread nyingi sana za kuisifia serikali ya ccm kuwa imefanya vyema sana! Na kutuambia kuhusu maendeleo, huku wakijitapa na kijisifia!
Lakini nimejikuta nikianzisha thread hii haswa baada ya kukutana na thread hii Asante Ndugu Rais. Majaribio ya treni yameanza Arusha
Lakini sasa ni kwamba hapa Magufuli na CCM ya sasa wanajilinganisha na Mwalimu Nyerere na serikali yake ya CCM iliyopita?
Kiukweli, kama tukitaka maendeleo ya kweli, lazima kila chama kinachoingia madarakani,kiwe na hofu ya kuondolewa madarakani!
Kwenye demokrasia ya kweli, hofu ya chama na kiongozi wake ni nzuri wakati wamepewa dhamana ya kuongoza Taifa!
Hofu ambayo itatokana na wao kulinganishwa kiukweli na vyama vingine. Na wananchi wakiona hawajafanya lolote kuwapita chama kingine(siyo rekodi ya wao kwa wao), basi wana haki ya kuwaondoa madarakani kwa kutumia demokrasia ya uchaguzi huru na wa haki!
Nakaribisha maoni, povu nk