Elections 2010 Hivi CHADEMA haina wataalamu, au viongozi wake ndiyo wasioambilika?


Kwa hiyo na wewe ni msomi???????????
 
Toa sababu kwanini iwezekane Ulaya ishindwe Tanzania huo ndiyo uchovu wa mawazo unaoedeshwa na CCM. Treni kutoka mwanza mpaka dar kwa masaa matatu inawezekana, kuna miujiza gani hapa?
 

KWELI UKIPENDA, CHONGO UTAITA KENGEZA!

Of course kuwa na treni ya saa tatu DAR -MWANZA inawezekana kama conditions ziko right, hoja ni kwamba hivi sasa conditions haziko right kabisaa! (Tafadhali rejea kuipitia mada)

HUENDA SIKU:
  • Kila Mtanzania atakapokuwa na uwezo wa kula milo mitatu kwa siku;
  • Kila mwanafunzi wa nchi hii akawa anakaa kwenye dawati;
  • Kila MTZ akawa na maji safi na salama;
  • Kila kaya ikaacha matumizi ya kuni na mkaa;
  • Kila shule na chuo kikawa na maktaba yenye vitabu 'latest';
  • Idadi ya wanafunzi wanaosoma masomo ya sayansi kwa vitendo (yaani katika maabara zenye vifaa vyote muhimu) ikaongezeka walau mara 50 kuliko ilivyo sasa;
  • Na nyie 'wasomi' wetu mlioajiriwa kwenye halmashauri zetu, idara za serikali, taasisi nyingine za ummah na makampuni binafsi mtakapoacha vitendo vya wizi na rushwa, a.k.a, UFISADI ULIOFUMBIWA MACHO;
  • Na pale 'WAKOMBOZI WETU', kama kina Dr. Slaa, watakapoacha kudai kwanza vyama vyao viwalipe MAMILIONI ndipo wafanye kazi ya kutukomboa.
TUKAANZA KUWA NA MATUMAINI KUWA HUENDA TRENI YA MASAA MATATU DAR- MWANZA INAWEZEKANA.
Believe it, hili halitatokea kwa generation hii ya viongozi!
 
Huna hoja zaidi ya hiyo? Nakuonea huruma!
Kama thinking power unayo-display inawakilisha 'wasomi wetu' walio wengi, basi haishangazi kuwa nchi hii inazidi kuzama siku hadi siku! Kama 'wasomi' wetu ambao hamuwakilishi hata 10% ya population ndiyo mentality mliyonayo, vipi hawa 90% ambao 'siyo wasomi'? SAD!
 

madrassa al sul
 
Nadhani huo ni mtazamo wako kwa upeo wako japo unayoyanukuu hayana reference: Lakini kumbuka ukionyesha kidole kimoja kwa mwenzio kuna vidole vinne vinakunyooshea mwenyewe: Hebu tuambie:

1. Inflation ya Tanzania kufikia 16% mwaka huu 2010 kutoka 6% mwaka 2005, je CCM haina wataalamu?

2. CCM kuahidi kwenye ilani (kwa maandishi) na kushindwa kuweka Mahakama ya Kadhi, je CCM haikuwa na wataalam wa sheria?

3. Kushindwa kununua mazao kutoka kwa wakulima baada ya kuahidi kuwa watanunua mazao yote. Je CCM haikuwa na wataalam au hawana pesa?

4. Kuingia mikataba mibovu ya Richmond, Madini n.k. Je CCM haikuwa na wataalam au hawaambiliki?

5. Watu wachafu mfano Mramba, Chenge, Rostam, Lowassa n.k. kuendelea kugombea na kunadiwa na JK katika majukwaa - je CCM haina wataalamu wa kuwashauri?
 
Jamani Dr. Slaa ana PhD in theology. Please, don't overhype it like it is something very meaningful. It reminds me kuna wadau wakati tumemaliza F6 waliweka Div 1 kwa sababu ya misonge ya Divinity. Wanashangilia lakini Muhimbili hawakugusa.

Ndio anayo PhD ya dini, good for him, but don't run around like it matters. Because, we all know it doesn't even count. The only place his PhD is meaningful is in the pulpit, huku kwengine kote anatupotezea.
 
Jamani Dr. Slaa ana PhD in theology. Please, don't overhype it like it is something very meaningful.

Mkuu, ile ya Kikwete ni ya nini?
BTW, hivi Makamba Sr elimu yake ni ya kiwango gani?
 
Kibunango,

Kujibiwa hoja zoote za dabomani ndio umekuwa uhuni? Kubali tuu kuwa mabadiliko yaja. mnaweza kufanya kama Kenya wakakimbilia kumwapisha Rais nasikia hata wimbo wa Taifa lao wakasahau kuupiga. Naona tu kuanza kuleta Jeshi liseme ni matayarisho ya kuapishana haraka haraka.
 
Woo! Nilikuwa nime-take a brake kusoma hilo article ambayo ingependeza zaidi kwenye gazeti la UHURU, lakini majibu ya Rutashubanyuma yameniokolea muda wangu wa kumalizia the looooong article. and dont forget the 20+billions JK alizotumia ku-renovate Ikulu wakati Mkapa already spent some 9b before he left. WHAT A WASTE! ccm have no shame, no mercy to local raia. .............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…