johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kesho utaongea wewe.Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"
Naomba Ufafanuzi
Nimekaa pale 🐼
Wewe kinachokuwasha nini? Chadema siyo CCM. Punguza nyege kwa Chadema hangaika na lichama lenu chakavu.Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"
Naomba Ufafanuzi
Nimekaa pale 🐼
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni.Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"
Naomba Ufafanuzi
Nimekaa pale 🐼
Waache waisafishe nyumbaNilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"
Naomba Ufafanuzi
Nimekaa pale 🐼
CCM chama cha mashoga na wasagajiChama cha wavuta bangi na walevi
Chadema kuna makambale tu. Kila mmoja ana sharubu. Haya yalithibitishwa na yule mwanasiasa mahiri wa Zanzibari aliyewahi kukaa chadema kwa kipindi fulani. Jina lake nadhani alikuwa anaitwa Mzee Duni.Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"
Naomba Ufafanuzi
Nimekaa pale 🐼
Jaribu kufanya hivyo huko mbogamboga kama hutakuwa Johnthedeceased!Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"
Naomba Ufafanuzi
Nimekaa pale 🐼
Haina shida hata akiongea kila siku havunji sheria, vp mmeshampitisha pinda kuwa makamu wenu mwenyekiti?Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"
Naomba Ufafanuzi
Nimekaa pale 🐼
JamiiForums wekeni kitufe cha kuonesha idadi ya likes za kila member. Hii comment ilipaswa kupata likes 1000 zangu peke yangu
Chawa mtiifu. Pesa za Abdul mmezitolea mimacho hadi mzimalize.Dhambi ya usaliti ni mbaya, Mbowe kaongea mara mbili tu kashamaliza kazi wao sasa kila kukicha press wanahaha usaliti ni mbaya mno.
Lema, Lissu, Msigwa hawa watu ni hatari sana Heche na yeye kavamia gege la wahuni bila kujijua maskini.
Mwamba, wasamehe - wengine pa kula hawana.
Bwashee huu ni msimu wa uchaguzi, ni muda wa kufanya kampeni za uchaguzi...Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"
Naomba Ufafanuzi
Nimekaa pale 🐼
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha kama wewe.Chadema kuna makambale tu. Kila mmoja ana sharubu. Haya yalithibitishwa na yule mwanasiasa mahiri wa Zanzibari aliyewahi kukaa chadema kwa kipindi fulani. Jina lake nadhani alikuwa anaitwa Mzee Duni.
Hivyo usishangae Erythrocytes naye akaitisha mkutano na wana habari hivi punde.
Uhuru wa kutoa maoni, wakati ndiyo huu. Asante Maria Sarungi.Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"
Naomba Ufafanuzi
Nimekaa pale 🐼