Hivi Chadema hakuna utaratibu wa Wanachama kuongea na Waandishi wa Habari? Mfano Lema aliongea Jana lakini Kesho ataongea tena🐼

Waache waongee maana huu mwaka wa mwisho, baada ya hapa miaka minne ijayo ndio waanze tena.
 
Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"

Naomba Ufafanuzi

Nimekaa pale 🐼
Wewe kinachokuwasha nini? Chadema siyo CCM. Punguza nyege kwa Chadema hangaika na lichama lenu chakavu.
 
Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"

Naomba Ufafanuzi

Nimekaa pale 🐼
Chadema kuna makambale tu. Kila mmoja ana sharubu. Haya yalithibitishwa na yule mwanasiasa mahiri wa Zanzibari aliyewahi kukaa chadema kwa kipindi fulani. Jina lake nadhani alikuwa anaitwa Mzee Duni.

Hivyo usishangae Erythrocytes naye akaitisha mkutano na wana habari hivi punde.
 
Jaribu kufanya hivyo huko mbogamboga kama hutakuwa Johnthedeceased!
 
Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"

Naomba Ufafanuzi

Nimekaa pale 🐼
Haina shida hata akiongea kila siku havunji sheria, vp mmeshampitisha pinda kuwa makamu wenu mwenyekiti?

Kazi ambayo mngekaa nyumbani na kupigiana simu na kumaliza mnaenda kusanyika dodoma kama mifugo mnadani
 
Dhambi ya usaliti ni mbaya, Mbowe kaongea mara mbili tu kashamaliza kazi wao sasa kila kukicha press wanahaha usaliti ni mbaya mno.
Lema, Lissu, Msigwa hawa watu ni hatari sana Heche na yeye kavamia gege la wahuni bila kujijua maskini.

Mwamba, wasamehe - wengine pa kula hawana.
 
Chawa mtiifu. Pesa za Abdul mmezitolea mimacho hadi mzimalize.
Mlivyosikia kuna 12 billion basi mkajitoa akili ili mgao usiwapite.
 
Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"

Naomba Ufafanuzi

Nimekaa pale 🐼
Bwashee huu ni msimu wa uchaguzi, ni muda wa kufanya kampeni za uchaguzi...

Kwa hiyo kila siku na kila wakati ni lazima wapiga kampeni watoke na kufanya kampeni...

Na vyema kama kuna media zinakubali kurusha kampeni hizi kwa bure, ni njema sana...
 
Chadema kuna makambale tu. Kila mmoja ana sharubu. Haya yalithibitishwa na yule mwanasiasa mahiri wa Zanzibari aliyewahi kukaa chadema kwa kipindi fulani. Jina lake nadhani alikuwa anaitwa Mzee Duni.

Hivyo usishangae Erythrocytes naye akaitisha mkutano na wana habari hivi punde.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha kama wewe.
 
Back
Top Bottom