Hivi Chadema hakuna utaratibu wa Wanachama kuongea na Waandishi wa Habari? Mfano Lema aliongea Jana lakini Kesho ataongea tena🐼

Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"

Naomba Ufafanuzi

Nimekaa pale 🐼
Kwa hiyo shida yako ni kwanini ameongea jana na leo anaongea tena, au unataka kusema nini hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…