we ni mshabiki au mkereketwa wa chadema gentleman? π7000 kwa siku.
Wamekucheleweshea leo, unawakumbusha kwa vi-nyuzi kuwa bado upo active.View attachment 3666111
Katiba mpya na tume huru ya uchaguziBinafsi kama mTanzania, natamani sana kujua na kufahamu hilo, kwasababu ni muda mrefu sana tangu chadema istop kusajili wanachama wapya kidigitali.
Na bilashaka yoyote hata wadau kadhaa wa JF, nadhani wanatamani na wangependa walau kufahamu hilo.
Anae fahamu tafadhal aweke wazi numbers tu, ingawa humu jukwaani wengi ni mashabiki na wakereketwa tu wa chadema.
Mungu Ibariki Tanzania
Hivi na nyie sisiem mkiumwa na fursa ya kutibiwa mzena?we ni mshabiki au mkereketwa wa chadema gentleman? π
Wanne!Binafsi kama mTanzania, natamani sana kujua na kufahamu hilo, kwasababu ni muda mrefu sana tangu chadema istop kusajili wanachama wapya kidigitali.