Hivi CHADEMA mmejipanga kweli? Msipoteze ushindi katika suala la mawakala

Hivi CHADEMA mmejipanga kweli? Msipoteze ushindi katika suala la mawakala

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Suala la kusafirisha mawakala kwenda kula kiapo wasiachiwe wagombea.

Kuna majimbo yana jiografia mbaya sana na hayana mgombea ubunge. Na hata kama yupo hana fedha.

Sasa unakuta safari ya kwenda kula kiapo kwa mkurugenzi na kurudi ni ya kutwa nzima. Na gharama ya kukodi usafiri ni kubwa mno kiasi kwamba wakiachiwa wagombea udiwani na mbunge hawataweza.

Hapa nimeongea kiutu uzima tu. Lkn tayari kuna vilio toka kwa wagombea huko majimboni kwamba hawawezi kumudu kusafirisha mawakala wote hivyo wanaomba msaada.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom