Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
Gentleman,Unataka wafanye nini kama chama ambacho hakina serikali?
kwahiyo chama kikiwa hakina serikali ndio kijikite kwenye kujitenga na michakato ya kidemokrasia kama vile kususia na kugomea uchaguzi au maandamano, ndio kipate kuunda serikali right?š