Hivi China walishashirikigi World Cup?

educator2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
395
Reaction score
455
Naangalia mechi ya USA vs Ghana imenifanya nifikirie kama ndugu zetu wacheza karate na kutengeneza vitu feki kama walishawahi kushiriki (si kuchukua) kombe la dunia au nao ka sisi TIA MAJI TIA MAJI.


 
Mkuu hata kama hujui, ukigoogle sekunde kadhaa utakuwa ushajua.
 
hao jamaa (Wachina) waambie kujenga reli ndo wataalamu mambo ya mpira na kuimba imba sijui NGOLOLO hawajui hao
 
Naangalia mechi ya USA vs Ghana imenifanya nifikirie kama ndugu zetu wacheza karate na kutengeneza vitu feki kama walishawahi kushiriki (si kuchukua) kombe la dunia au nao ka sisi TIA MAJI TIA MAJI

[h=4]Group C: 2002 FIFA World Cup Group C[/h]Brazil won all three games to progress, whilst China PR were eliminated without a goal or a point. Costa Rica's leaky defense led to them being eliminated on goal difference, allowing Turkey to claim the runner-up spot.


[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH]Team


[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]Pld[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]W[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]D[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]L[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]GF[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]GA[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]GD[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]Pts[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] Brazil[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]+8[/TD]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] Turkey[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]+2[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] Costa Rica[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]−1[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] China PR[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]−9[/TD]
[TD]0

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Bado unaamini china ni watengenezaji wa vitu feki?
 
Naangalia mechi ya USA vs Ghana imenifanya nifikirie kama ndugu zetu wacheza karate na kutengeneza vitu feki kama walishawahi kushiriki (si kuchukua) kombe la dunia au nao ka sisi TIA MAJI TIA MAJI

Educator2025 walishiriki2002 Kule Korea&Japan na walikuwa kundi moja na Brazil, Turkye,
 
nasikia wamewahi shiriki ila walifungiwa kwasababu walikuwa wakienda mapumziko(half time) wanaorudi uwanjani ni kikosi kingine kabisaaaa na ilikuwa ngumu kugundua kwasababu wanafanana.
Ila watu walikuwa wanashangaa "mbona hawachoki kama team zingine?
 
hii habari imeenea na inarithiwa vizazi na vizazi.
 
Nani amekua China wanatengeneza vitu feki kijana tembea uone by the way mwaka 2002 walishiriki nilicheka sn wakati walipocheza na brazil ilitokea faulo basi mpigaji alikuwa Roberto Carlos alivopga mpira ule wa adhabu ulitinga wavuni moja kwa moja uku wachina wakikwepa lile shuti kali.
 

Ni kweli china ni mabingwa wa kutengeneza vitu feki mbona unakuwa mbishi hivi,
 
Mkuu China wanatengeneza vitu adimu vyenye high quality standards zinauzwa dunia ya kwanza na ya pili sasa huko kwa babu na bibi mnauzia zile ambazo zinalingana na uwezo wa wanunuaji.
Ni kweli china ni mabingwa wa kutengeneza vitu feki mbona unakuwa mbishi hivi,
 
hata india sijawahi kuwasikia china walishiriki korea na japan 2002
 
Your money decides the standard of the goods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…