Hivi China walishashirikigi World Cup?

Hivi China walishashirikigi World Cup?

Kwanza futa kauli ya kusema watengenezaji wa vitu feki, umasikini wetu ndo unatufanya tuuziwe feki. Angalia computer zote zenye brand za Kimarekani zinatoka wapi kama sio China? Na ziko imara na zinadumu. Wao wapo kimaslahi zaidi ukitaka feki utauziwa
 
Achana na mapumziko mkuu unaambiwa wao hata muda wa kurusha mpira walikuwa wanajichanganya mtu anaingia.

Hao jamaa ni hatari wanaonekana wana sifa za uswahilini maana si kwa usanii huo,

Na aliyetoa hilo wazo sijui siku hiyo aliamkaje yaani,haha
 
Back
Top Bottom