Kwanza futa kauli ya kusema watengenezaji wa vitu feki, umasikini wetu ndo unatufanya tuuziwe feki. Angalia computer zote zenye brand za Kimarekani zinatoka wapi kama sio China? Na ziko imara na zinadumu. Wao wapo kimaslahi zaidi ukitaka feki utauziwa