Hivi chuo kikuu ndio sehemu ya kubebea mimba.......oh kidagho

Hivi chuo kikuu ndio sehemu ya kubebea mimba.......oh kidagho

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kubeba mimba ni kawaida ila hapa chuo imekua kama fashion sasa,waalimu wanafunzi wanabeba mimba hapa chuo sio mchezo,nauliza hivii mkianza kazi watoto mtafundisha sa ngapi kama masomoni una toto mbili na hujagraduate,sijajua vyuo vingine.
 
Condoms zinazuzia utamu wewe
 
Condoms zinazuzia utamu wewe,zipo kibao hapa hata ukitaka40
 
PMU= pata mimba uolewe

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Walimu wako cheap sana asee...huwezi kuta mtoto wa Llb,bcom au economics anabeba mimba kizembe,tena bila hata ndoa.
 
Walimu wako cheap sana asee...huwezi kuta mtoto wa Llb,bcom au economics anabeba mimba kizembe,tena bila hata ndoa.

Hawabebi hata zikaonekana. Kwa kuwa hawana uhakika wa kupata kazi baada ya chuo, hivyo, wanazisafisha haraka iwezekanavyo.
Pia kuna stori kwamba, waalimu wana upendo sana.
Yote kwa yote, mwaka wa Pili na wa Tatu wanakuwa wamekomaa na umri umeenda.
Ni hatari pale wasomi wavulana wanapojifia kwa kuwa wamezalisha wasichana, wasichana nao wakiringia kubeba mimba, bila ya kujua wataleaje hao watoto.
 
sasa mimba si suala la mtu mwenyewe!!!! watu wengine bwana!
kama halitakuwa na athari kwa wanachuo kitaaluma sioni kama ni tatizo sana ingawa sinauhakika kama hizo mimba zinatokana na ndoa halali au uzinzi wa wanachuo hao.
 
sisi wakati tunasoma usdsm enzi hizo tulikuwa na msajili wa mimba
au registrar of pregnancy darasani
binti anapokuwa mjamzito yeye ndio hututangazia fulani mjamzito...
it was funny nakumbuka nusu ya mabinti walipata mimba
kwa sasa ni wengi wao ni famous and they have good life.
 
PERRY, UMENENAA, LL,b,BAF,B.COM ENGINEERING, MEDICINE,HUWEZ KUKUA MADEM WA IZO KOZ WANABEBA MIMBA KIZEMBE ,
 
Education kozi nyepesi na rahisi sanaa,, mwanafunzi anayedisco kwenye kozi ya education hataweza kusoma koz nyingine
 
Kwani si kuna programme zinaitwa BED Arts (sanaa za vitandani) ahahaaaaaaaaaaa hawa ni noma wanabeba kama hawana akili nzuri...
 
Kubeba mimba ni kawaida ila hapa chuo imekua kama fashion sasa,waalimu wanafunzi wanabeba mimba hapa chuo sio mchezo,nauliza hivii mkianza kazi watoto mtafundisha sa ngapi kama masomoni una toto mbili na hujagraduate,sijajua vyuo vingine.

kwani unasoma au kufundishwa na under 18?
 
Walimu wako cheap sana asee...huwezi kuta mtoto wa Llb,bcom au economics anabeba mimba kizembe,tena bila hata ndoa.

Acha udhalilishaji kwani unapokuwa chuoni unakuwa level sawa kiumri au marital status?we utajuaje kama wanachoropoa?
 
Back
Top Bottom