Kwasababu leo nimeona magari ya Bonite yanasambaza juisi za minute maid, zilizotengenezwa kiwanda cha Cocacola kwanza kilichopo Dar, INA maana Cocacola Kwanza wanashindwa hata kununua magari madogo ya kusafirishia juisi zao huku moshi mjini?
Nahisi hizi kampuni mbili (Bonite na Cocacola Kwanza) zimeingia ubia, au labda Reginald Mengi ni shareholder mkubwa wa kampuni ya Cocacola Kwanza, sasa sijui kipi ni kipi.
Mwenye taarifa sahihi, tujuzane, majungu na kejeli sitaki.