mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Dasani niliyakuta UK, so nadhani ni ya dunia nzima hayaDasani water sio products ya coca cola, bali ni product ya coca cola kwanza!!
Ila Dasani ya huku Bongo ni mabaya kishenzi na hata wenye maduka hua hawayataki kabisa.