Moja, Kiwanda cha Coca-Cola pale Mwenge ni eneo la Marehemu Mengi na wao wamepanga. Pili, Ipp na Coca-Cola wameingia ubia kwa hapa Tanzania. Ndo maana magari yanasambaza pia maji ya Kilimanjaro. Ndo ninayoyajua, kama kuna wanaoju zaidi watanikosoa na kuongezea
Kaa chini ujielimishe kuhusu haya makampuni
Cocacola kwanza ,bonite na nyanza
Minute maid ni brand ya cocacola ko, kwahiyo inapaswa kuzalishwa kwenye viwanda vyote vya cocacola
Dasani water sio products ya coca cola, bali ni product ya coca cola kwanza!!ongezea na dasani water.
Soma attachment hapa chiniDasani water sio products ya coca cola, bali ni product ya coca cola kwanza!!
Kaa chini ujielimishe kuhusu haya makampuni
Cocacola kwanza ,bonite na nyanza
Minute maid ni brand ya cocacola ko, kwahiyo inapaswa kuzalishwa kwenye viwanda vyote vya cocacola
Minute maid niproduct za Coca cola hata Mwanza Nyanza bottling wanasambaza kanda ya ziwa...Kwanza lazima utambue uhusiano uliopo bonite na Coca-Cola,
kwa uelewa wangu ni kuwa Mengi alikuwa na hisa nyingi kama sikosei Coca-Cola kwanza kabla ya Bonite kuanzishwa hivyo hiyo ikapelekea yeye kupewa nafasi ya kuanzisha kampuni ambayo itakuwa chini yake kwa makubaliano ya kuachia jengo mwenge while anakuwa anapata gawio kiasi furani
lakini Coca-Cola kwanza wanajitegemea na bonite pia wanajitegea kwa kugawana kanda za kusambaza products
Coca-Cola kwanza anasambaza products zake mikoa ya pwani pamoja na kukihudumia kiwanda cha Coca-Cola mbaya while bonite anahudumia kanda ya kaskazini.
kunabaadhi ya products za Coca-Cola kwanza utazikuta kaskazini na zinasambazwa na depot za bonite kama hizo minute maid nk pia products za bonite mfano maji ya kilimanjaro ni utazikuta mikoa mingi tz
Dasani water sio products ya coca cola, bali ni product ya coca cola.
Maji ya kilimanjaro ni product ya bonite bottlers. Na si coca cola ambacho hamkielewu coca cola ni franchise kuna product lines ambazo zipo kwny brand ya coca cola kama dasani, munite maid juice na soda lakini si dhambi ukimiliki franshise kuwa na product line yako katika brand ya coca cola ndicho ambacho alikifanya mengi kwenye brand za kilimanjaroMaji ya Kilimanjaro pia yako chini ya coca cola, je nayo yanatengenezwa Nyanza na coca cola Kwanza?
Hapana chief mengi hana hisa coca cola kwanza na ameeleza kwny kitabu chake cha i can,i will i must namna alivyoanza umiliki wa viwanda hasa bonite bottles kiufupi ukimiliki franchise yoyote duniani una aquaire full ownership ya biashara ila kasoro tradesmark ya hiyo biashara. Kwahio unaweza ukawa na product line ya bithaa zako mwnyw pamoja na zile za trademark kwa sabb ww una full ownership.Kwanza lazima utambue uhusiano uliopo bonite na Coca-Cola,
kwa uelewa wangu ni kuwa Mengi alikuwa na hisa nyingi kama sikosei Coca-Cola kwanza kabla ya Bonite kuanzishwa hivyo hiyo ikapelekea yeye kupewa nafasi ya kuanzisha kampuni ambayo itakuwa chini yake kwa makubaliano ya kuachia jengo mwenge while anakuwa anapata gawio kiasi furani
lakini Coca-Cola kwanza wanajitegemea na bonite pia wanajitegea kwa kugawana kanda za kusambaza products
Coca-Cola kwanza anasambaza products zake mikoa ya pwani pamoja na kukihudumia kiwanda cha Coca-Cola mbaya while bonite anahudumia kanda ya kaskazini.
kunabaadhi ya products za Coca-Cola kwanza utazikuta kaskazini na zinasambazwa na depot za bonite kama hizo minute maid nk pia products za bonite mfano maji ya kilimanjaro ni utazikuta mikoa mingi tz
Maji ya kilimanjaro ni product ya bonite bottlers. Na si coca cola ambacho hamkielewu coca cola ni franchise kuna product lines ambazo zipo kwny brand ya coca cola kama dasani, munite maid juice na soda lakini si dhambi ukimiliki franshise kuwa na product line yako katika brand ya coca cola ndicho ambacho alikifanya mengi kwenye brand za kilimanjaro
Ni brand ya bonite bottles chief. Soma kitabu cha mengi i can, i must, i will ameelezea umiliki wa bishara zake zote na namna alivyozianzishaSo maji ya Kilimanjaro ni brand ya coca cola au?
Ni brand ya bonite bottles chief. Soma kitabu cha mengi i can, i must, i will ameelezea umiliki wa bishara zake zote na namna alivyozianzisha
Hicho sikijui kuhusu mikataba ninachokijua mengi ni mmiliki asilimia 100 wa maji ya kilimanjaro chini ya kampuni yake ya bonite bottlers kama alivyo state kwny kitabu chake ambacho hukielewi chief ni kwamba bonite bottlers inafanya bottling ya vinywaji vya coca cola ukanda wa kaskazini na pia vinywaji vyake binafsi kama kilimanjaro.Bonite haikuingia mkataba wa ku-supply hayo maji ya Kilimanjaro kwenye soko la kimataifa, haswa kwenye kombe la dunia ambako Coca Cola ndio mdhamini mkuu. Huko maji ya Kilimanjaro yanauzika saana. Ndio maana nauliza hayo maji yalienda huko kama brand ya Bonite au Coca cola?