Dasani niliyakuta UK, so nadhani ni ya dunia nzima hayaDasani water sio products ya coca cola, bali ni product ya coca cola kwanza!!
Dasani water sio products ya coca cola, bali ni product ya coca cola kwanza!!
Hicho sikijui kuhusu mikataba ninachokijua mengi ni mmiliki asilimia 100 wa maji ya kilimanjaro chini ya kampuni yake ya bonite bottlers kama alivyo state kwny kitabu chake ambacho hukielewi chief ni kwamba bonite bottlers inafanya bottling ya vinywaji vya coca cola ukanda wa kaskazini na pia vinywaji vyake binafsi kama kilimanjaro. Mengi kufungua bonite bottlers amestate alikuwa anataka full ownership ndo maana aliopt coca cola badala ya fahari bottlers( pepsi) aliokuwa wakwanza kuongea nao kuhusu makubaliano
Umeelezea vyema sana chiefRegistered trademark haikuzuii wewe kumiliki production line zako binafsi. Ukiingia mkataba na CocaCola unazalisha kila bidhaa zao zilizoorodeshwa kwenye mkataba huo kwa ubora sahihi. Ukitaka kuzalisha bidhaa zako unaweza ila huwezi weka brand name, logo au trademark.
Kwenye kusambaza napo ni makubaliano, unaweza kuwa sole distributor wa product au mkawa mnagawana usambazaji wa product hiyo. Hizo MinuteMaid na Dasani ni products za CocaCola. Novida ilikuwa ya Schweppes ila CocaCola waliingia mkataba wa kuzalisha, ikawa inazalishwa Uganda kwa hapa EA.
Pepsi wameanzisha Gatorade ambayo wanaitangaza sana kuliko Pepsi yenyewe (mashabiki wa mpira wanaona). Hata wao wanaingia mkataba wa kuzalisha baadhi ya products za Dr. Pepper.
Hivo kutoa bidhaa yoyote kati ya zinazokubalika sio ajabu. Kusambaza nayo sio ajabu.
Kuelewa masuala ya franchising na trademark ni vigumu. Pia humu kuna hela nyeusi zinafichika. Utashangaa kundi linalomiliki share za Pepsi wakati huo subgroup ya kundi hilo inamiliki share za CocaCola.
Ni brand ya bonite bottles chief. Soma kitabu cha mengi i can, i must, i will ameelezea umiliki wa bishara zake zote na namna alivyozianzisha
Maji yamekuwa bottled bonite bottlers lkn trademark ni ya coca cola ndio maana kwny machapisho yake maji ya kilimanjaro yameandika bottled by bonite bottlers lkn bottle design are registered trademarks of the coca cola company kwahio yameuzwa kama trademark ya coca cola kinachowezekana kilitokea demand ilikuwa kubwa bonite wakapewa nafasi yakuleta bithaa sokoni kutokana ni trademark ya coca colaSwali mkuu maji ya kilimanjaro yalipenya soko la dunia kama brand name ya Bonite au Coca cola? Yanauzwa chini ya sponsorship ya coca cola huko world cup au wewe hujayaona huko?.. Nafahamu hayo maji yanatengenezwa na Bonite ila kitu ambacho sifahamu ni vipi yako chini ya Coca Cola na yanasambazwa hadi nje huko badala ya kutumia hiyo brand ya Bonite.
Maji yamekuwa bottled bonite bottlers lkn trademark ni ya coca cola ndio maana kwny machapisho yake maji ya kilimanjaro yameandika bottled by bonite bottlers lkn bottle design are registered trademarks of the coca cola company kwahio yameuzwa kama trademark ya coca cola kinachowezekana kilitokea demand ilikuwa kubwa bonite wakapewa nafasi yakuleta bithaa sokoni kutokana ni trademark ya coca cola
Chief unajua namna ambavyo franchise zinavyofanya kazi? Hapa coca cola wanamiliki trademark tu angalia kwny chupa ya kilimanjaro imeandikwa " bottle design are registered trademarks of the coca-cola company " lkn maji yametengenezwa na bonite bottlers ltdNunua maji ya Kilimanjaro utakuta ni brand ya Coca Cola
Hpn ni product ya bonite coca cola wanamiliki tradesmark tu. Sikia kama huelewi biashara hizi za franchise zinafanyika kazi hizi ww unataka kufungua tali la mak donald utamiliki kila kitu kwny ile biashara na utauza biashara za mk donald na kuzalisha kwa quality na starndard ya mak donald lkn yy mak donald atakuwa anamiliki trdemark ya biashara yako kwahio kuna percent mak donald watapata kutokana na umiliki wao wa trademark lkn hatutaweza kusema ile biashara ni ya mak donaldSo maji ya Kilimanjaro ni product ya Coca cola sio?
Hpn ni product ya bonite coca cola wanamiliki tradesmark tu. Sikia kama huelewi biashara hizi za franchise zinafanyika kazi hizi ww unataka kufungua tali la mak donald utamiliki kila kitu kwny ile biashara na utauza biashara za mk donald na kuzalisha kwa quality na starndard ya mak donald lkn yy mak donald atakuwa anamiliki trdemark ya biashara yako kwahio kuna percent mak donald watapata kutokana na umiliki wao wa trademark lkn hatutaweza kusema ile biashara ni ya mak donald
Coca cola analipwa na bonite kwa kutumia trademark yakeOkay, so hapo Bonite ndio anamlipa Coca Cola kwa kutumia hiyo trade mark au Coca cola ndio anamlipa Bonite kwa kumuuzia hayo maji? Yani mchakato wa kibiashara ukoje.. tuzungumzie upande wa hiyo product ya maji ya kilimanjaro zaidi.
Hapana chief franchising ni mfumo wa biashar unaweza kufanyika kwa biashara yoyote ile si real estate tuMakampuni mengi yanayoingia mkataba wa franchise yalikua kwa kufanya biashara ya real estate na sio bidhaa wanazouza
Coca cola analipwa na bonite kwa kutumia trademark yake
Na ni kwasababu wameweza kumaintain quality starndard ambazo coca cola wameziweka na kuzihitaji mengi hakuwahi kuwa na pressure ya soko maana anajua quality ya bithaa yake itajiuzwa yenyewe wakat wengine wakiuza bei chee maji yao yeye hakuwa na pressure maana anajua quality standard yake wachache sana wataifikia na product yake itakuwa unique kuna mahali kwny kitabu chake ameahidika anajali kuprovide the best quality kwa product zake maana zitadumu kizazi na kizaziHapo nimekusoma chief, bhas Bonite wana muscle sana na influence ya kutosha hadi kuishawishi brand kubwa kama Coca cola iipitishe bidhaa yao na kuiweka katika list ya product zake. No wonder ni maji ya bei ghali kidogo.. may be na hizo gharama za kulipa huko Coca zinachangia.
Dasani water sio products ya coca cola, bali ni product ya coca cola kwanza!!
Coca Cola Company is a global brand inayotoa franchise ownershipKwasababu leo nimeona magari ya Bonite yanasambaza juisi za minute maid, zilizotengenezwa kiwanda cha Cocacola kwanza kilichopo Dar, INA maana Cocacola Kwanza wanashindwa hata kununua magari madogo ya kusafirishia juisi zao huku moshi mjini?
Nahisi hizi kampuni mbili (Bonite na Cocacola Kwanza) zimeingia ubia, au labda Reginald Mengi ni shareholder mkubwa wa kampuni ya Cocacola Kwanza, sasa sijui kipi ni kipi
Mwenye taarifa sahihi, tujuzane, majungu na kejeli sitaki
Dasani ni product ya Kampuni ya Coca cola mkuu iko hata nchi zingine sio Tanzania tuDasani water sio products ya coca cola, bali ni product ya coca cola kwanza!!
Maji ya Kilimanjaro ni ya Kampuni ya Mengi yeye kama yeye na sio brand ya Coca ColaMaji ya Kilimanjaro pia yako chini ya coca cola, je nayo yanatengenezwa Nyanza na coca cola Kwanza?