KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ha ha! Mkuu ndo mambo hayo..😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mtu lol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha! Mkuu ndo mambo hayo..😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mtu lol.
Yaani hadi leo unavaa ndomu , mabaharia tumeshakubaliana kupiga peku peku,bucha kwa bucha.Habari za wakati huu ndugu zangu?
Niende kwenye maada moja kwa moja
Swala la kujilinda ni la muhimu sana kwa kila mtu tena ni jambo lililo jema kabisa ila sasa hivi kwanini condom hupenda sana kudondoka mbele za watu tena wale wa heshima?
Mara ya pili na dondosha pact la condom mbele ya wazazi yaani mpaka wazazi washahisi napenda sana K .. Hii kitu ina aibisha sana sometimes. Juzi kati hapa nilimpaga mrembo mmoja kwenda kumchapa tulikuwa na kakikao ka ukoo mida flani sa nikawa natoa leso mfukoni ghafla pact la condom likadondoka chini pwaaaa!!
Tena mbele ya ukoo mzima aisee.. Ntaanza kwenda kavu kavu tu aisee maana this is too much now.
Sio kila mtu ajue unachofanya bana