Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss zaidi
Hapo kuna mawili
Ukiona kapo ziko motomoto sana humu jeiefu, ujue hao watu hawajakutana laivu bado. Siku wakikutana na kukuta hawafanani kabisa na zile profaili pikcha wanazoweka humu mfano unakuta mdada kaweka picha ya beyonce kumbe yeye yupo kama whoopi goldberg, au mkaka kaweka picha ya will smith wakati ni kijeba kifupi, kina upara na sura kama mhogo mchungu, mahusiano huwa yanakatika ghafla na hautawasikia tena!!
Au wameshakutana na wamekulana, na kawaida watu wakishakulana ule msisimko kunakua hamna tena hapo kila mtu anaanza kutafuta sababu ya kumuacha mwenzake, atakaewahi kuipata ndio mshindi.
ankoooWoyooooo
ankooo
We ni wa kunisengenya kweli[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Anko wangu nikupendaye [emoji847] ninachokupendea tahangaika weeeh mwisho wa siku anarudi hapohpo
Mimi mambo ya kumove on siyaweziAnko wangu nikupendaye [emoji847] ninachokupendea tahangaika weeeh mwisho wa siku anarudi hapohpo
Mimi mambo ya kumove on siyawezi
Nikipenda nimependa
LooooMi na Jael pamoja kama mbowe na chadema
Wala hatujaachana!Habari zenu.
mwaka 2016 kulikuwa na couple humu zenye mbwembwe sana ila ghafla mwanzoni mwa 2019 zikaanza kififia na mwaka 2020 zikapotea kabsa na sasa sioni watu wakiandikiana maneno mazuri kwenye siku zao za kuzaliwa kama zamani.
kipindi hicho kila mmoja humu alikuwa na mpenzi humu,
je nini kitokea mpaka couple nyingi humu kuyeyeyuka na zilizopo zinapumlia gesi maana sioni zile amsha amsha kama za kipindi hicho.
Je ni vyuma kukaza, wengi wameachana, au ulikuwa utoto unawasumbua na sasa wamekua au zilikuwa mbwembwe zisizo na uhalisia.
wikiendi njema.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Mi na Jael pamoja kama mbowe na chadema