Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Mkuu naona hili swali unalipenda kweliHivi D-S kwenye auto cars hutumika wakati gani, Je naweza kuitumia kwenda safari ndefu?
View attachment 2041199
Mkuu since 2020 bado hujapata jibu [emoji28]Hivi D-S kwenye auto cars hutumika wakati gani, Je naweza kuitumia kwenda safari ndefu?
View attachment 2041199
Jibu la mdauHivi D-S kwenye auto cars hutumika wakati gani, Je naweza kuitumia kwenda safari ndefu?
View attachment 2041199
Sijaelewa hapa mkuu "Gear zinajibadilisha kisporty mode"Duh watu wanaeleza kitu kimakosa kwa kujiaminj kabisa. Kwanza sio DS. Ni D na S.
D-Drive ya kawaida gear zinabadilika kama kawaida.
S-Sporty mode. Unaisogeza gear lever kulia ilipo alama S hapa gear zinabadilika ki sporty mode kama Una race hivi. Quick gear change na response.
Gari yako haina Semi auto(watu wengi wamaita manual) ingekuwa nayo ungeona alama +/-
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeAfu jitahidi ununue dundo au Sendo ya maana hilo yebo la ki dwanzi sana.
S maana yake ni sports mode...Sijaelewa hapa mkuu "Gear zinajibadilisha kisporty mode"
Hapa maana yake gear zinaingia faster au slower?
Na kuna umuhimu gani wakufanya hvo?
Naomba kueleweshwa pia kuhusu semi auto,, Je, kuna kuwa na gear leaver nyingine ya manual au inatumika hio hio ya auto, na inatumikaje mkuu?
Sporty mode kunakuwa na sporty/racy gear change and response.Sijaelewa hapa mkuu "Gear zinajibadilisha kisporty mode"
Hapa maana yake gear zinaingia faster au slower?
Na kuna umuhimu gani wakufanya hvo?
Naomba kueleweshwa pia kuhusu semi auto,, Je, kuna kuwa na gear leaver nyingine ya manual au inatumika hio hio ya auto, na inatumikaje mkuu?
Qmmmk LMAO [emoji38] [emoji38]Afu jitahidi ununue dundo au Sendo ya maana hilo yebo la ki dwanzi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Qmmmk LMAO [emoji38] [emoji38]
Hachana na DSDuh watu wanaeleza kitu kimakosa kwa kujiaminj kabisa. Kwanza sio DS. Ni D na S.
D-Drive ya kawaida gear zinabadilika kama kawaida.
S-Sporty mode. Unaisogeza gear lever kulia ilipo alama S hapa gear zinabadilika ki sporty mode kama Una race hivi. Quick gear change na response.
Gari yako haina Semi auto(watu wengi wamaita manual) ingekuwa nayo ungeona alama +/-
D ni Drive.Hachana na DS
Tuzungumzie Gia mbili kama D na 2
Izo zinatumikaje? Tujulishane apo mkuu
Kama nipo safari ya muda mrefu kama kutoka DSM kwenda sehemu ya mbali kama Tabora na jaribu kujikita na kwy milima na miteremko kama kitonga na senkenke
D normal Drive.Hachana na DS