Hivi D-S hutumika wakati gani?

Hivi D-S hutumika wakati gani?

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Hivi D-S kwenye auto cars hutumika wakati gani, Je naweza kuitumia kwenda safari ndefu?

FB_IMG_1639293118096.jpg
 
D-S ni Drive Sporty hapo gari inakua more sporty. Tofauti yake na D ni kwamba DS ina shift gear fast ila ina hold gear moja muda mrefuu. Kwahiyo utakua unasikia ata mliokubadirika coz RPM zinaenda juu sana kabla haijaenda gear nyingine.

Edit: Safari ndefu weka D tulia tulii.
 
D tumia wakati wote 95% D ndio inatumia au zaidi hiyo S ikiwa unataka kutoka auto kwenda Manual kwa maana ukienda S hiyo ni Manual kwa maana inabidi ucontrol wewe hiyo S nakushauri ikiwa unashuka milima mikubwa sana tumia ili usitumie sana break ila kwa ujumla weka D tu huko kwingine wala usitumie.
 
Hivi D-S kwenye auto cars hutumika wakati gani, Je naweza kuitumia kwenda safari ndefu?

View attachment 2041199
Jibu la mdau

"D-S Maana Yake Gari Yako Ni Semi-auto transimission maana yake unaweza kutumia mfumo wa Automatic au Manual unapokua safarini hivo Basi Ile S Inasimama Kama Sports Mode Hapa Utumikaji Wake Upo Hivi Endapo Utahitaji Kuitumia Lzm Gari Yako Iwe Zaidi Ya Speed 60 Kwa Saa Na Utabadili Gear Kwa Kufata Mzunguko Wa Engine Kupitia RPM Yako Hivo Kama Unataka Kubadili Gear Kwenda Mbele Kila Unapobadili Gear Unaigonga Gear Leaver Kwenda Mbele Utapanga Na Kama Unataka Kupangua Gear Utagonga Gear Leaver Kurudi Nyuma Kila Utakapopangua Gear Ila Mfumo Huu Utumie Ukiwa Safari Ya Masafa Marefu Ukitumia Hapa Kimjini Mjini Gari Yako Itakula Mafuta Zaidi"
 
Duh watu wanaeleza kitu kimakosa kwa kujiaminj kabisa. Kwanza sio DS. Ni D na S.
D-Drive ya kawaida gear zinabadilika kama kawaida.
S-Sporty mode. Unaisogeza gear lever kulia ilipo alama S hapa gear zinabadilika ki sporty mode kama Una race hivi. Quick gear change na response.
Gari yako haina Semi auto(watu wengi wamaita manual) ingekuwa nayo ungeona alama +/-
 
Sijaelewa hapa mkuu "Gear zinajibadilisha kisporty mode"
Hapa maana yake gear zinaingia faster au slower?
Na kuna umuhimu gani wakufanya hvo?
Naomba kueleweshwa pia kuhusu semi auto,, Je, kuna kuwa na gear leaver nyingine ya manual au inatumika hio hio ya auto, na inatumikaje mkuu?
 
S maana yake ni sports mode...

Mara nyingi huwa naitumia nikiwa safarin na hasa nikifanya overtaking,pia kumbuka S mode ni kama overdrive kwenye gear box za AFT
 
Sijaelewa hapa mkuu "Gear zinajibadilisha kisporty mode"
Hapa maana yake gear zinaingia faster au slower?
Na kuna umuhimu gani wakufanya hvo?
Naomba kueleweshwa pia kuhusu semi auto,, Je, kuna kuwa na gear leaver nyingine ya manual au inatumika hio hio ya auto, na inatumikaje mkuu?
Sporty mode kunakuwa na sporty/racy gear change and response.
Semi auto gear lever ni hio hio ila unaisukumia kwenye -/+ ambapo unapush gear lever up or down to change gear manually. It's same auto coz huapply clutch kubadili gear,Una tap gear lever up or down only
 
Navojua S huwa ni sport mode pia kuna M huwa ni manual mode!

Sometimes S au M inakuwa na +\- symbols kuashiria unaweza cheza na gear kuongeza au kuzipunguza. Ukiangalia waweza kuta button za Up and Down kwenye steering wheel kuashiria kwamba kuongeza na kupunguza gear waweza fanyia kwenye usukani.

Walipo advance wakaja na paddle shifters kwenye usukani. Yote ni kurahisisha kutumia manual mode.

So S mode inasaidia kuongeza speed ya uchanganyaji gears na kukupa control ya kubadili gears manually ikiwa una buttons maalum au paddle shifters.
 
Duh watu wanaeleza kitu kimakosa kwa kujiaminj kabisa. Kwanza sio DS. Ni D na S.
D-Drive ya kawaida gear zinabadilika kama kawaida.
S-Sporty mode. Unaisogeza gear lever kulia ilipo alama S hapa gear zinabadilika ki sporty mode kama Una race hivi. Quick gear change na response.
Gari yako haina Semi auto(watu wengi wamaita manual) ingekuwa nayo ungeona alama +/-
Hachana na DS
Tuzungumzie Gia mbili kama D na 2
Izo zinatumikaje? Tujulishane apo mkuu
Kama nipo safari ya muda mrefu kama kutoka DSM kwenda sehemu ya mbali kama Tabora na jaribu kujikita na kwy milima na miteremko kama kitonga na senkenke
 
D ni Drive.

2 unailazimisha gari isivuke gear namba 2. Nzuri wakati wa kushuka miteremko mikali sana ili usitumie sana breki.
 
Hachana na DS
Tuzungumzie Gia mbili kama D na 2
Izo zinatumikaje? Tujulishane apo mkuu
Kama nipo safari ya muda mrefu kama kutoka DSM kwenda sehemu ya mbali kama Tabora na jaribu kujikita na kwy milima na miteremko kama kitonga na senkenke
D normal Drive.
2,3 ni hivi
2 inaruhusu gear mbili tu 1,2 unaweza kutumia wakati unavuta gari au kushuka mlima mkali kupunguza matumizi ya brake.
3 inaruhusu gear 3 matumizi kama. 2 tu.
Unaweza kutoka 2,3 ukaweka D moja Kwa moja bila kusimama.
 
Back
Top Bottom