Mzee, juzi nilienda kwenye barber shop moja ya maeneo ya sinza kwenye majira ya saa kumi za jioni hivi. Mzee nikapokelewa na kadada kamoja kamevaa tight mbaya, kakanitabasamia alafu kakanifumbia jicho moja"Kakanikonyeza'', baada ya kunyolewa kenyewe ndio kakanichangamkia kuwa ni mteja wake wa siku nyingi. Mzee, kabla sijaanza kupakwa zile chemical zao kakashika kichwa, shingo, kidevu kimapenzi hasa'romantic touches'. Baadae wakati wa kuscrub, kakawa kanachezea masikioni yangu kwa muda mrefu. Wakati wa kuoshwa ndo kabisa, kichwa hakikutolewa kwenye mtindi wake. Hii naona ni zaidi ya customer care