Hivi dada zetu wa kwenye barber shop wapo kwa ajili ya nini hasa?

Sasa kama hajui unamsaidiaje na wewe si mwalimu?
Mbona issue dogo sana kwako wewe mwenye ujuzi wa Internet, nenda youtube videos kibao za namna ya kufanya massage na scrubs. Kwani unafikiri hao madada wa saloon walienda shule? Hakuna mwanamke asiye jua namna ya kumpaka mtoto mafuta usoni . The same techniques here
 
kuleni matunda na maji kwa wingi.....wala hutaenda kuscrub na kupigwa ule mnaita mvuke(stima)
 
The finest, nakumbuka kuna dada mmoja aliweka mipaka ya mumewe kuhudumiwa na hasa wakati wa kuoshwa na kuscrubiwa
Mshikaji wangu wife wake alinunua kila kitu kinachotumika saloon kuanzia mashine na vikorombwezo vingine akaambiwa kwenda kushikwashikwa saloon no more:lol::lol:
 
kwani huwa wanafanyanini hapo barber shop?je ni vibaya waime zetu kwenda? kwanini zisihudumiwe na kina baba/wanaume
 
kuna moja iko pale baada ya kupita africa sana kwa mbele kama unakwenda bamaga kushoto wale mademu ni machangu tu nilikwenda kunyoa pale wakati najiandaa kwenda kwenye graduation UDSM ni noma wanawake wanajiuza hakuna ubishi hizo huduma ni mtego.
na nyingine iko victoria pale karibu na petrol station kwenye kale kanjia kanaelekea mwananyamala kuna demu mule anaitwa ........(acha nihifadhi jina lake) yeye alinishika dick kabisa baada ya kumaliza kunifanyia scrubs na kupipaka black, akasema naitaka hiyo, nikacheka nikachomoka nikampa 10,000 ya huduma sikuomba chenji nikatoka nduki fasta sijawahi kurudi tena nilipachukia.
 
kwani huwa wanafanyanini hapo barber shop?je ni vibaya waime zetu kwenda? kwanini zisihudumiwe na kina baba/wanaume
Kapuchi kama una mume nakushauri uende naye siku moja natumaini utapata majibu ya maswali yako:lol:
 
Ahaaaa ahaaa ahaaaa howard you just made my day:lol::lol:
 

ha ha ha ha ha ha lol.;.. mkuu hii yako kali bana ila hata sijashangaa hawa wadada ni noma mazee
 

Wa kwenye hizi Barber Shop wamezidi, ni zaidi ya kawaida.
 
wao wameandika ni salon ya kunyoa nywele, hayo mengine ni viambatanisho tu, la muhimu sana hapo ni kuwa so specific! umeenda kunyoa basi nyoa ishia, kama unataka na scrub wanaweza kukufanyia bila kukutomasatomasa maeneo yasiyohusika, mengine mnayakaribisha wenyewe, umelazwa kwenye mtindi unapumka tu na macho umeyafumba unasikilizia joto la matiti, unashikwa hata kusiko husika unatulia kimyaa kama katoto chini ya kwapa ya mamake halafu baada ya hapo unakuja hapa kutuzingua eti ni zaidi ya customer care! na mwisho ukachukua namba ya simu ya huyo dada, huoni kama ulikuwa na zaidi ya kunyoa nywele? of course ukionyesha interest ya kwenda beyond that utapewa tu huduma husika na juu ya ukimwi ni suala la wewe mwenyewe ukiamua kutupa condom kando utaukwaa tu hata kama huendi salon! AIDS is real take care!
 

Hahahahahahahahh! Du!!!!!!!!!!!!!!! Nimecheka sana ingawa kwa upande mwingine inasikitisha... Nadhani pia ili uweze kupata kazi kwenye hizi barber shop kama msichana inabidi uwe changudoa flani hiv.
 
Hilo ndio la muhimu hasa
 
kwani huwa wanafanyanini hapo barber shop?je ni vibaya waime zetu kwenda? kwanini zisihudumiwe na kina baba/wanaume
Zikihudumiwa na akina baba zitakosa wateja.
Muhimu kama mtu anaona anakwazika na zile huduma za wale akina dada aache kwenda au kama ameoa au ana mpenzi hiyo kazi inaweza kufanywa na mkewe au mpenziwe.
 
Hii kali aisee.....
 


Mkuu naona ulifurahia vile, na kama ukatamani huduma iendelee vile. Hujahitimisha mwisho ilikuwaje..... Anyway, siku nyingine umsalimu wife kabla hujaenda kunyoa ukiona hutaconcentrate kwenye kilichokupeleka pale na utategwa na 'extra service'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…