Hivi dada zetu wa kwenye barber shop wapo kwa ajili ya nini hasa?

nafikiri ni mawazo tuliyo nayo vichwani mwetu yanayotutuma kufikiria hayo yote. wapo kazini na hiyo ni mojawapo ya kazi yao. tulie uhudumiwe kisha chanja mbuga, ukiendekeza mawazo hayo kichwani umekwisha.
 
Jambo hili mimekaa nalo moyoni kwa muda mrefu sana, naomba mnisaidie hivihawa dada zetu wa kwenye hizi barber shops wapo kwa ajili ya kuwasafisha wateja wao au kuwatega? Kwa maana mmmmhh, naona wamezidisha mbwembwe sasa.

Ukiweka mawazo hayo hata vimini kanisani utasema wanatega. Nenda, nyoa ukimaliza timua. Ukiwa serious hivyo hata siku nyingine hawakutegi. Hata wao huwa wanapima stamina ya mtu.
 
inaelekea na ww uliipenda huduma yao, haiwezekana umebanwa kichwa na matiti umetulia tu, check kwenye blue!!!

Hapo Suzzy
je huyo mdada angeendelea mpaka sehemu nyeti angemwachia kwa muda kama alivyomwachia masiko eeeeeeehhhhhhhhhh
 
Jambo hili mimekaa nalo moyoni kwa muda mrefu sana, naomba mnisaidie hivihawa dada zetu wa kwenye hizi barber shops wapo kwa ajili ya kuwasafisha wateja wao au kuwatega? Kwa maana mmmmhh, naona wamezidisha mbwembwe sasa.

Kazi yao moja tu kukulainisha ili kesho urudi tena.
 
Mwana jf utakubali mkeo afanye kazi ya massage parlour?
 
Atafanyaje hivyo Bi mkubwa, nyumba ya kupanga, bafu la public na linatosha mtu mmoja tu?
 
Enyi wanaume dhaifu hamjui kuwa miili yenu ni hekalu la Mungu? Kuweni na myoyo mikuu!:hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari:
 
Na siku hizi mnavyojishaua na kufanya scrub, kumbe mnataka tu kushikwashikwa na hao wazichana. nahisi kila mtu na mawazo yake akitaka kufanya atafanya hata kama hajaenda huko salon
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>

ha haa haa haaahh uwiii jamani niacheni mimi nisivunjike mbavu wanashindana na wamasaji pala ee kweli biashara ni mbinu tuu
 
Yote hiyo ni kwasababu baadhi yenu wanapenda....ingekua hampendi wasingefanya!!
Hata siku moja huwezi kukuta bidhaa isiyo na wanunuaji SOKONI!!!
 
Mkuu hiyo ndio salon nayoendaga wana huduma nzuri na vinyozi na kina dada ni wacheshi na wanajua kazi yao,hayo mengine ulosema ni mwenyewe tu wanavokuona,wengi tunapata huduma ya heshima pale.
 
Mkuu hiyo ndio salon nayoendaga wana huduma nzuri na vinyozi na kina dada ni wacheshi na wanajua kazi yao,hayo mengine ulosema ni mwenyewe tu wanavokuona,wengi tunapata huduma ya heshima pale.
Mkuu kumbe na wewe chimbo lako pale:lol::lol:
 
Babukijana umetoa point, check hiyo red
 
mkristo ushike moyo....pale sinza mori,,,,,ajajajajajajajaj
 
duuuh nimekuelewa mkuu halafu nahisi hawavai hata sidiria wale manake kichwa kinapolazwa kifuani unapata joto fulani hivi.. lolz

Wera wera wera, respect mwana
 
Mkuu hiyo ndio salon nayoendaga wana huduma nzuri na vinyozi na kina dada ni wacheshi na wanajua kazi yao,hayo mengine ulosema ni mwenyewe tu wanavokuona,wengi tunapata huduma ya heshima pale.

Kwa utetezi huo ni lazima utakuwa mdau, yaelekea wewe wamekutendea zaidi ya kuambiwa naitaka hiyo. Teh teh teh teh
 
Mwana jf utakubali mkeo afanye kazi ya massage parlour?

Nasikia kaharufu kadamu kwa mbali, acha huo utani. Ukirudia kutoa ushauri huo ndg yangu watakutoa damu sasa hivi
 
Kwa siku wanahudumia wateja takriban 20 mpaka 30. Wote hao wametomashwa tomashwa, na huenda wamekubaliana wapi wakutane. Sasa kama utakubali ku-share na umati kama huo, HIV itakuwa miguuni mwako
 
eebwana hao akina dada ni muhimu wawepo kwenye hizo berber kwan huku maeneo ya kigambon kivukon kuna saloon moja nzur tu ivi na inawateja weng sana na wengi wa wateja niwale wanaopenda huduma ya wale wanawake manayake ni wazuri na wanautumia ule uzr wao kuwa karbisha wateja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…